Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
We ingia kule utajua tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila hujatueleza umetumia kigezo gan mkuu kujua hilo
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We ingia kule utajua tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila hujatueleza umetumia kigezo gan mkuu kujua hilo
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Kwa mtazamo wako, unadhani wenye akil san Tanzania wameshawah tokea?Naona mtu mwenye akili sana (maana tunazidiana akili) ni yule anayeleta kitu kipya duniani ambacho hakijawahi Kuwepo toka dunia ianzishwe.
NB; Kuna utofauti wa akili na akili sana coz wenye akili ni wengi ila wenye akili sana ni wachache.
Yeah wameshawahi kutokeaKwa mtazamo wako, unadhani wenye akil san Tanzania wameshawah tokea?
Ukiwa kama mzungu ndipo tunasema wewe una akili.
Sio kununua midege 10 ya kibiashara kwa cash.
NjaaHabari wakuu, JF hom of great thinkers.
Kama heading ijielezavyo, ni kipi kipimo sahih cha akili? Au mpaka tuseme fulani ana akili tunazngatia vigezo vipi?
Kuna uhusiano gan kati ya akili ya mtu na matendo yake?
Mgunduzi mzuri wa vitu & ideas lkn hana uwezo mkubwa wa kuhifadh kumbukumbu na mwenye uwezo mkubwa wa kuhifadhi kumbukumbu lakin c mwenye kugundua vitu vipya yupi kati yao tunasema mwenye akili
Kwenu wanaJF, home of great thinkers. Tiririka kwa mtazamo wako