Ni kipindi gani cha runinga na redio kikiruka hewani, inakulazimu kubadili frequency/channel.?

Kwanza redio nisizozipenda huwa sizisikilizi kabisa hivyo nawaepuka kwa njia hiyo.

EA Radio ndiyo naona iko sawa kwenye vipindi vyake.
duu kwahy hapo hukimbii kipind bali aina fulan ya redio ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…