Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nazingatia uwezo wa mtangazaji lugha anayotumia hewani, akili yake katika kujenga hoja na mwisho namna gani anatambua uzito wa kazi yake.duu kwahy hapo hukimbii kipind bali aina fulan ya redio ?
ni kipindi ama channel
SULTAN na vyenye mfanano wa sultan
Sawa mdau wa Planet BongoKwanza redio nisizozipenda huwa sizisikilizi kabisa hivyo nawaepuka kwa njia hiyo.
EA Radio ndiyo naona iko sawa kwenye vipindi vyake.
Kwanza eatv kuna kipind kinaitwa e newz, dadaz , imenifanya hata eatv yenyew nipige chini kuangalia ingawa sina kideo
Hata mimi dadaz sikipendi, wabayaaa hlfu wanavyojishongondoa sasa ptuuuuu
kuna umbea na umama mwingi au ?Dadaz cha EATV,sikipendi kwelikweli
Hadi wewe Mfalme Suleiman kweli?Ni kupoteza mda kuangalia sultan