Ni kipindi gani cha runinga na redio kikiruka hewani, inakulazimu kubadili frequency/channel.?

Ni kipindi gani cha runinga na redio kikiruka hewani, inakulazimu kubadili frequency/channel.?

siangalii TV na nkiangalia ni Aljazeera,RT,discovery,National Geographic,travel chanel,Fineliving,bloomberg,history labda na kiss tv kuangalia Grime music,local chanels labda kipindi cha uchaguzi.
 
Hha haswa yan simaliz hata dakk 20 nasinzia bora ile ya roshni kidogo naweza fatilia ingawa sina kilev nazo naweza pita ata mwez sijachek
Basi nilivyoona Id yako nikajua utakua ni mdau
 
Wengne huwa tunasikiliza redio za huku uchochoroni, hamuwezi kuvijua hata nikivitaja
 
Ikitokea kwa bahati mbaya mtoto akaweka TBC alafu nikakuta kipindi cha TUNATEKELEZA...nazima TV kabisa, na mtoto akikaa vibaya anaweza kula fimbo kabisa

Kwanza naichukia sana TBC, nataman hata ipigwe bomu isambaratike kabisa

Nimewahi kuona waandishi wajinga, lakini kwa wale wa TBC, ni zaidi ya wapumbafu....hata sijui wanaume wa pale wakiwa majumban kwao wanaonekanaje kwa wake zao na watoto wao
 
wakiwa home ni ma_genious
 
Ritta Chiwalo aisee hayupo nasikia yupo Tumaini Radio.

Siku hizi Beberu yupo na Mariam Kitosi mambo si mabaya.

Mariam ni Kisuuuuuuuuuuu.
Super mix kuna yule demu anaitwa Rita bado yupo?
 
Back
Top Bottom