Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,289
- 46,624
Hahaha!!!Kipindi cha "miaka mitatu ya mafanikio ya jiwe"!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha!!!Kipindi cha "miaka mitatu ya mafanikio ya jiwe"!
Hha haswa yan simaliz hata dakk 20 nasinzia bora ile ya roshni kidogo naweza fatilia ingawa sina kilev nazo naweza pita ata mwez sijachekHadi wewe Mfalme Suleiman kweli?
Kuna kimoja hivi hapo TBC mtangazaji wake anaongea kishoga sana kinaitwa Zamadam sijui bado kipoKipindi cha chereko cha tbc
Basi nilivyoona Id yako nikajua utakua ni mdauHha haswa yan simaliz hata dakk 20 nasinzia bora ile ya roshni kidogo naweza fatilia ingawa sina kilev nazo naweza pita ata mwez sijachek
HahahahahahaNi kupoteza mda kuangalia sultan
Basi nilivyoona Id yako nikajua utakua ni mdau
Hahah poa mkuuBig nop, [emoji1]
hahahahhahaaaaIkitokea kwa bahati mbaya mtoto akaweka TBC alafu nikakuta kipindi cha TUNATEKELEZA...nazima TV kabisa, na mtoto akikaa vibaya anaweza kula fimbo kabisa
wakiwa home ni ma_geniousIkitokea kwa bahati mbaya mtoto akaweka TBC alafu nikakuta kipindi cha TUNATEKELEZA...nazima TV kabisa, na mtoto akikaa vibaya anaweza kula fimbo kabisa
Kwanza naichukia sana TBC, nataman hata ipigwe bomu isambaratike kabisa
Nimewahi kuona waandishi wajinga, lakini kwa wale wa TBC, ni zaidi ya wapumbafu....hata sijui wanaume wa pale wakiwa majumban kwao wanaonekanaje kwa wake zao na watoto wao
Sawa mdau wa Planet Bongo
Super mix kuna yule demu anaitwa Rita bado yupo?Hapana. Super mix, Kipenga na ndinga mpya town.
Sina hobbie na Bongo fleva mkuu.
Super mix kuna yule demu anaitwa Rita bado yupo?