Ni kipindi gani cha runinga na redio kikiruka hewani, inakulazimu kubadili frequency/channel.?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Niliona bei ya gazeti la Tanzanite ni 1000 nikabaki kuduwaa.
Ni kama wasivyosoma Gazeti LA uhuru, yaani hata mkuu wa wilaya yangu halinunui, huwa nabaki kujiuliza kama kada hanunui Uhuru, hiki Gazeti linaendeshwa kwa fedha gani?
 
kumbe uhuru ni la serikal, na mengine n yap mkuu ?
 
Kipindi cha salamu, kwasababu najua sitasalimiwa. Nawaachia wenyewe akina full negebuka.
 
kuna baadhi huwa wanasema 'nawasalmia wote wanaosikiliza kipindi hichi' ukiona hvy ujue na we umesalmiwa
 
ila ya kutajwa jina ndo inanoga, unakuta mtu hadi anakua maarufu kwenye vipindi vya salamu. Asa wengine kupiga cm redioni hatuwezi.
 
Tbsii tv na Tbsii radio, yani kama kuna vitu sivipendi basi hivyo ni nambari wani
 
Back
Top Bottom