Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Mimi tatizo siyo kipindi kwa sababu ni rahisi kukiepuka, ila kuna ile TV ya mapambio wala siwezi kuitune.Kwanza redio nisizozipenda huwa sizisikilizi kabisa hivyo nawaepuka kwa njia hiyo.
EA Radio ndiyo naona iko sawa kwenye vipindi vyake.
Hata Mimi tatizo siyo kipindi kwa sababu ni rahisi kukiepuka, ila kuna ile TV ya mapambio wala siwezi kuitune.
Ni kama wasivyosoma Gazeti LA uhuru, yaani hata mkuu wa wilaya yangu halinunui, huwa nabaki kujiuliza kama kada hanunui Uhuru, hiki Gazeti linaendeshwa kwa fedha gani?[emoji23] [emoji23] Ile Tv na redio yake hata wenye chama wenye hawaitazami.
Ni kama wasivyosoma Gazeti LA uhuru, yaani hata mkuu wa wilaya yangu halinunui, huwa nabaki kujiuliza kama kada hanunui Uhuru, hiki Gazeti linaendeshwa kwa fedha gani?
Hilo nalo ni ajabu la Sita la bei!!!! Tanzanite??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Niliona bei ya gazeti la Tanzanite ni 1000 nikabaki kuduwaa.
hauko serious
Ile ni serikali sio viherere.viherehere wa serikal
kwa huo upaja, ngoja nkakope sabuni mche dukani kwa mangiMariam Kitosi huyo.... Yaani unasikiliza kipindi huku unapiga punyeto.
Sio unasikiliza redio anatangaza kikongwe yaani kila nikipata muda EA Radio ni ya kwanza na ya mwisho.
Kisuuuu. View attachment 940531View attachment 940532
ila ya kutajwa jina ndo inanoga, unakuta mtu hadi anakua maarufu kwenye vipindi vya salamu. Asa wengine kupiga cm redioni hatuwezi.kuna baadhi huwa wanasema 'nawasalmia wote wanaosikiliza kipindi hichi' ukiona hvy ujue na we umesalmiwa
ndivyo ilivyo, kwani unaijua Hayato tv au baloha fm!aisee
[emoji3][emoji3]Kwanza eatv kuna kipind kinaitwa e newz, dadaz , imenifanya hata eatv yenyew nipige chini kuangalia ingawa sina kideo