Ni kipindi gani cha runinga na redio kikiruka hewani, inakulazimu kubadili frequency/channel.?

Ni kipindi gani cha runinga na redio kikiruka hewani, inakulazimu kubadili frequency/channel.?

na kweli hata ukienda pale huwez kuvuma. kuna msanii alienda pale et anajiita 'staa ajaye' yan jina tuu linaonyesha hakuna kitu pale
😂😂😂😂😂 wanazinguaga kichizi

sauti mbayaaaa kuimba hawajui

alafu yule mtangazaji mtu mbaya sana baada ya kuwaambia ukweli ndo kwanza huwa anawasifia 😂😂😂
 
Back
Top Bottom