Men are from mars women are from venus, kina nondo za maana sana katika mauhisiano....siku nakisoma nlikua nacheka kwakweli kuna mambo unatumia nguuuuuvu katika mahusino unavuruga kumbe ni vitu hata havitaki nguvu.
Ukisoma huko kitabu utajua kwanini wanawake wananuna bila sababu aaah sio bila sababu kumbe huwa wana sababu😂
Pia utajua kwanini mwanaume unaweza kuwa mpo katika mahaba mazito mara ghafla tu anajitenga anakaa pembeni, katika moment hii kumbe anahitaji space ukimfatafata ndo unazidi kumkera
Bro
Carleen soma hiki kitabu