Ni kitabu gani ambacho ulishakisoma na unatamani watu wengine wangekisoma pia, (recommend hapo chini).

Asante sana... Wacha nikipitie, huwa nakionaga hiki kitabu ila sijawahi kushawishika kukisoma kutokana na hiyo falsafa ya mapenzi coz Mimi si saaaana upande huo ila inaonekana kina madini so wacha nikisome nijifunze kitu tofauti πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
thank you so so much Bro, niliwahi kisoma zamani sana, wacha nikirudie tena sahii tafadhali, I appreciate the reminder..!!
sahii nasoma 'the power of a Praying Wife', ngoja nirudie nahicho nikiwa na akili timamu za ukubwani, mbona nikitoka hapa nitakuwa nimewiva..!!☺️🀭
 
Kizuri kwakweli, kuna vitu utavijua kihusu wanawake halafu havitakushughulisha tena ukiona mwanamke anavileta unapuuza maisha yanakua na amani sana πŸ˜‚, once you get to know men are from the mars and women are from venus, watu wawili waliotoka sayari tofauti na sasa wapo on earth wanatakiwa kukaa pamoja tena kwa amani.

Watu wawili wenye tabia tofauti kabisa, nlipenda stress management concept, mwanaume akiwa na stress anaenda kwenye cave anatafakari, wakati mwanamke hajui hicho kitu cave.😹
 
Nkuongezee na the power of the pussy? 🀭🀭

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…