Ni Kitendo cha Nadra sana kuwaona Askari wa Uingereza Special Air Service (SAS) na Navy Seals

Haa ha ha..wabongo kwa kuponda Askari wetu...!! Aisee yani utadhani hawaisaidii jamii kwa lolotee...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mungu anawaonaa ipo siku watatangulia mbele kama wale wa Kenya...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haa ha ha..wabongo kwa kuponda Askari wetu...!! Aisee yani utadhani hawaisaidii jamii kwa lolotee...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mungu anawaonaa ipo siku watatangulia mbele kama wale wa Kenya...

Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi tunao Special forces ila hutawaona mabarabarani wakijiita mamba wakiwa tayari kuwameza wananchi.
 
Unaonekana mwanaume chaumbea... huyo aliyempiga finger boss ni SAS?


Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana nikasema nimekumbuka, kuna dhambi yoyote kukumbuka kitu halafu ukaandika. Maisha mafupi na huu uzi sio serious kivile. Usichukulie kila kitu maishani katika hali ya umakini kama vile unajibu mtihani wa chuo kikuu, there is a light touch in life.
 
Good basi alikuwa at right place at a right time. Nawa admire SAS. Tough straight. Hawana muda wa video kama navy seals.

Sent using Jamii Forums mobile app
Habari zinasema alikua off duty aliposikia alikwenda eneo la tukio sababu vitendea kazi alikua navyo kwenye boot lake la gari. Na alikua anafanya shopping eneo jingine. Ila SAS member non commissioned wa miaka mingi.
 
Hujielewi na wala hujamuelewa malcom

Hivi shule ulipelekwa kujaza taka kichwani au

Amekuelimisha kazi ya walinzi sio kubinya watu mbavu wewe unakasirika

Certified Idiot
Mkuu GUSSIE, Ndio maana nikasema nimekumbuka, kuna dhambi yoyote kukumbuka. Ningekuwa nimekumbuka suala linamhusu Tundu Lissu au mpinzani basi usingeandika ulivyoandika. There is a light touch in life.
 
Wewe ndio Tahira uliyeanza kuandika habari za mzenji mlinzi

Madhara ya kuzaliwa kwa bahati mbaya ndio akili Kama zako
Mzenji mlinzi ni komandoo kama hao SAS. Nyinyi mliozaliwa kwa makusudi maalum mbona ni wapuuzi tu mnaomalizia hasira kwenye uzi wa jamii forum!!.
 
Hivi waki
staafu wanaondoka na mazagazaga yote hayo (mabunduki,visu etc) na kukaa nayo kwenye nchi za watu? au Bongomovie?
 
British Special Forces and has served in Iraq and Afghanistan as a top counter-terror warfare expert.
hapo alijisikia kama yupo mazoezini kama alipita huku kwa osama Afghanistan
 
Mkuu huwa naheshimu mawazo yako lakini nahisi leo umeandika upuuzi. Hapo hatishii kuua anakwenda kuyaua magaidi, ndio maana yupo full kivita.

Huu uzi sio wa siasa zetu za CCM na CDM, mheshimu aliyeupandisha jukwaani.
Wewe ni mpumbavu! Mambo ya bodyguard wa jpm inahusika vipi na huu uzi wa jamaa?!
 
Wewe ni mpumbavu! Mambo ya bodyguard wa jpm inahusika vipi na huu uzi wa jamaa?!
Mpumbavu ni wewe usiyeelewa maana ya neno "nimekumbuka", waingereza wanasema "it reminds me", someni kila neno na muelewe linamaanisha nini.

Mnafeli mitihani rahisi huko mashuleni kwa sababu ya vitu vidogo vidogo kama hivi, mnajiona mnajua kila kitu matokeo yakija mnajikuta mmefeli.
 
Mkuu sijakuelewa unamaanisha nini!. Uzi unahusiana na huyo SAS member wewe unakuja na habari zisizo na kichwa wala miguu!.

Au ndio yale madhara ya Makonda kuruhusu watu wapige kinywani 24/7?.
Huyo jamaa kajibu comment ya mpuuzi mmoja (sina uhakika kama ni wewe) aliyekuwa anamsifia body guard (mpambe) wa rais kwa kumchoma dole za mbavu Boss mmoja mbele ya muheshimiwa!
Ndo ameuliza kuwa kipimo cha uhodari wa mpambe huyo wa Mheshimiwa ni kumchoma dole za mbavu Raia wa kawaida asiye na mafunzo ya kijeshi au ni kupambana na Makamanda wenzie (mf: Majambazi na Magaidi)!!?
Naona umekurupuka kudandia usiyoyaelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…