Ni Kitendo cha Nadra sana kuwaona Askari wa Uingereza Special Air Service (SAS) na Navy Seals

Huyo SAS alisaidia Polisi wa kawaida ku evacuate civilians Kwa maeneo ambayo tarari ilikua recce squad wameshapitia, hakuhusika na kuua alshabab.....

Recce squad ndo walikua huko ndani wanapambana na alshabab alafu Polisi wengine pamoja na huyo jamaa walikua wanaenda Kwa floors ambazo recce wamesha 'clear'



-----
Huyo jamaa wa SAS ako attached na majeshi ya Kenya akipeana mafunzo, inasemekana kikosi cha Jeshi la Kenya kilichoitwa hapo ndo kikosi hicho hicho alichokua anakifundisha, na ni hao wanajeshi aliokua anawafundisha ndo walimpigia simu kumjulisha kuna shambulizi limefanyika, hapo ndo aliamua kurudi kambini na akapata hao wanajeshi wameshaondoka akaamua kuvaa vest yake na kuja kusaidia 'wanafunzi wake' lakini hakuhusika na kuua alashabaab, waliofanya hivyo ni kikosi spesheli cha GSU kinachoitwa Recce squad.

14 Riverside attack: Who are the Recce Squad?
 
Kwahiyo mkuu tusiwaamini waliokuwa kwenye tukio wanaosema magaidi wameuwawa tukuamini wewe ambae uko Tandale Kwa Mtogole muda huu?!
Nani alikuwepo kwenye tukio ...Kenyatta? Ama....
Westgate walidanganya hivi kwa kuweka propaganda kwenye maswala ya maana jicho pevu ikatoa ukweli mtupu...tujipe muda tu utasikia mengi ya ukweli.
 
Spetznas ( Russia ) ndo kikosi bora duniani na ni mojawapo ya kikosi katili sana na kinaogopwa sana. Mafunzo yao ni balaa 80% ni pain endurance so mateso kwao ni burudani.
... vikosi visiogopwe kwa sababu ya UKATILI bali kwa sababu ya weledi uliotukuka katika kupambana na majanga hususan wahalifu kama magaidi. Inaeleweka Russia ilikuwa taifa la kikomunisti na kwa asili ukomunisti ni UKATILI hata kwa raia wema ili kujenga hofu miongoni mwa jamii.
 
Nani alikuwepo kwenye tukio ...Kenyatta? Ama....
Westgate walidanganya hivi kwa kuweka propaganda kwenye maswala ya maana jicho pevu ikatoa ukweli mtupu...tujipe muda tu utasikia mengi ya ukweli.
... Kenyatta tena? Zikitokea issues kama hizo huwa wanafichwa kusikojulikana kama dhahabu; ujanja wao majukwaani tu wakiwa wamezungukwa na battalions.
 
Huyu yupo Kenya kuwapa mafunzo kikosi cha kupapanda na magaidi.
 


Inakuwaje yeye akawa na mavazi tofauti na wale askar wa kenya? aau alitumiwa toka ubalozini kwao?
 
Kwani Special Operation Command haiwezi kuwa ni kikosi ? Hebu tuanze kueleweshana hapa.......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
aya mmempiga picha na kumwonyesha sura sasa karudishwa kwao kwa kutopata usiri, hivi mapaparazi uwa mnataka sifa au nini mnashindweje kutopiga sura watu maalumu wa usalama?
 
recce sio kdf bali ni kitengo maalum kutoka GSU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SOMA HAPA CHINI NDIO UTAJUA YUKO LIKIZO AU KAZINI!!!
 

Attachments

Kwani Special Operation Command haiwezi kuwa ni kikosi ? Hebu tuanze kueleweshana hapa.......

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla ya ku execute mission yoyote. Kuna board huwa inakaa na kupanga ni vipi na ni jinsi gani mission husika itatekelezwa. Na kikosi gani kinafaa kwa mission husika.
Hapa wanakaa majenerali ( wale ambao wamepitia special forces).. the wanapanga. Wakisha panga ndio unit huwa selected na kutumwa eneo husika.. kiufupi hao ndio wanaopanga mission kabla ya unit husika kwenda na command zinatoka kwao.

Hiko sio kikosi. Ni command center inayopanga mission kwa vikosi husika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Spetznas ( Russia ) ndo kikosi bora duniani na ni mojawapo ya kikosi katili sana na kinaogopwa sana. Mafunzo yao ni balaa 80% ni pain endurance so mateso kwao ni burudani.
Kama kinaogopwa sababu ya mafunzo.. ninge suggest usome about british SAS.
92 % hufeli selection course.. almost askar watatu hupoteza maisha kwenye mafunzo..

Huwa hawachukui raia wa kawaida. Huchukua kutoka vikosi vingine vya jeshi.
Kikazi na level SAS ni tier 1
While spetznaz ni tier 2

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee...nazama chimbo zaidi
 
Kwa hiyo alikuwa na silaha zake ready Kwa alshabab muda wowote mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…