Ni Kitendo cha Nadra sana kuwaona Askari wa Uingereza Special Air Service (SAS) na Navy Seals

Ni Kitendo cha Nadra sana kuwaona Askari wa Uingereza Special Air Service (SAS) na Navy Seals

Mazee nimejiuliza kwanini Kenya Safari hii imewadhibiti haraka Magaidi Kumbe Kulikua kuna hawa Jamaa wanaotoka katika Most Elite Army Units on Earth

Tukianza na Navy Seal hawa ni Elites Army unit ya Marekani Wanao operate Katika Sea, Air na Land (combat) Interview na Mafunzo ya Navy Seal ni Magumu kuliko kikosi chochote cha Jeshi Ulimwenguni ni Vigumu sana kupambana nao wanajua Sana Kutumia Silaha na Kujilinda kwa kutumia miili yao Katika Tukio la Dusit walikuepo Navy Seal

Kuna British Special Air Service (SAS) hawa huwa hawaonekani Hovyo ni moja ya Vikosi bora wakiwa wamebobea katika mambo ya Kupambana na Ugaidi, na Kuokoa Mateka katlka Tukio la Dusit alikuepo mmoja ambaye alifika na Gari yenye namba za Ubalozi Akiwa na Mavazi ya Kulinda Mwili na Silaha na Alipambana na Magaidi Direct Mpaka Waingereza wenyewe wanashangaa kuwaona SAS wakipambana mchana kwani huwa wanapenda sana kufanya shughuli zao usiku.

SAS na Navy Seals ni watu waliondoka bila hata mkwaruzo wowote.

SAS huyu ana Kisu kipo tumboni hapo kinaonekana hapo kwa ajili ya mapambano ya Mkono kwa Mkono ana Pisto ana Hiyo Bunduki inayoitwa Modified Colt Canada Rifle Japo kichwani hana Helment huku akiwa katupia Jeans.
View attachment 997444

View attachment 997630

Najiuliza Kwenye Nchi zinazoendelea Elites Forces Unit kama hizi huwa zipo? Je ni kutokana na Uonevu wa Alshaabab Nchini Kenya Waliombwa waanzishe makazi yao nchini Kenya?
Huyo SAS alisaidia Polisi wa kawaida ku evacuate civilians Kwa maeneo ambayo tarari ilikua recce squad wameshapitia, hakuhusika na kuua alshabab.....

Recce squad ndo walikua huko ndani wanapambana na alshabab alafu Polisi wengine pamoja na huyo jamaa walikua wanaenda Kwa floors ambazo recce wamesha 'clear'

-----
Huyo jamaa wa SAS ako attached na majeshi ya Kenya akipeana mafunzo, inasemekana kikosi cha Jeshi la Kenya kilichoitwa hapo ndo kikosi hicho hicho alichokua anakifundisha, na ni hao wanajeshi aliokua anawafundisha ndo walimpigia simu kumjulisha kuna shambulizi limefanyika, hapo ndo aliamua kurudi kambini na akapata hao wanajeshi wameshaondoka akaamua kuvaa vest yake na kuja kusaidia 'wanafunzi wake' lakini hakuhusika na kuua alashabaab, waliofanya hivyo ni kikosi spesheli cha GSU kinachoitwa Recce squad.

14 Riverside attack: Who are the Recce Squad?
 
Kwahiyo mkuu tusiwaamini waliokuwa kwenye tukio wanaosema magaidi wameuwawa tukuamini wewe ambae uko Tandale Kwa Mtogole muda huu?!
Nani alikuwepo kwenye tukio ...Kenyatta? Ama....
Westgate walidanganya hivi kwa kuweka propaganda kwenye maswala ya maana jicho pevu ikatoa ukweli mtupu...tujipe muda tu utasikia mengi ya ukweli.
 
Spetznas ( Russia ) ndo kikosi bora duniani na ni mojawapo ya kikosi katili sana na kinaogopwa sana. Mafunzo yao ni balaa 80% ni pain endurance so mateso kwao ni burudani.
... vikosi visiogopwe kwa sababu ya UKATILI bali kwa sababu ya weledi uliotukuka katika kupambana na majanga hususan wahalifu kama magaidi. Inaeleweka Russia ilikuwa taifa la kikomunisti na kwa asili ukomunisti ni UKATILI hata kwa raia wema ili kujenga hofu miongoni mwa jamii.
 
Nani alikuwepo kwenye tukio ...Kenyatta? Ama....
Westgate walidanganya hivi kwa kuweka propaganda kwenye maswala ya maana jicho pevu ikatoa ukweli mtupu...tujipe muda tu utasikia mengi ya ukweli.
... Kenyatta tena? Zikitokea issues kama hizo huwa wanafichwa kusikojulikana kama dhahabu; ujanja wao majukwaani tu wakiwa wamezungukwa na battalions.
 
Yes ni SAS member. Lakin inategemea kama ni yuko in active duty.. au yuko likizo.. au amestaaf.
Kumbuka hawa jamaa wakistaaf nchi bado inawatambua. Huwa wanatembea na ile elite patch ya SAS.. likitokea la kutokea basi wajue ni mwenzao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu yupo Kenya kuwapa mafunzo kikosi cha kupapanda na magaidi.
 
Correction. SAS huwa ndio unit bora zaid..
Selection ya SAS ni ngumu sana kuliko Navy seals.

SBS(special boat services). Hawa ni pacha wa SAS ila wamebobea kwenye maji.

Huyo unae muona hapo alikuwa off duty, au anaweza kuwa ex-SAS since wanaruhusiwa kustaaf ktk umri mdogo.
Huyu bwana alikuwepo eneo hilo wakati panavamiwa.. si kwamba alitumwa au kenya iliomba msaada hapana.
Ni tukio limemkuta akaamua kutoa msaada since yeye ni expert kwenye counter terrorism.

Sent using Jamii Forums mobile app

Inakuwaje yeye akawa na mavazi tofauti na wale askar wa kenya? aau alitumiwa toka ubalozini kwao?
 
JSOC sio kikosi bali ni command. Joint special operation command. Hawa jamaa ndio wako reponsible kupanga mission,execute, training for all special forces unit.
Under JSOC command.. amri zinatolewa kwa vikosi kama navy seal , delta force, amry green beret

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Special Operation Command haiwezi kuwa ni kikosi ? Hebu tuanze kueleweshana hapa.......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
aya mmempiga picha na kumwonyesha sura sasa karudishwa kwao kwa kutopata usiri, hivi mapaparazi uwa mnataka sifa au nini mnashindweje kutopiga sura watu maalumu wa usalama?
 
brother usitulishe matango pori.

GSU na recce ni unit mbili tofauti zenye majukumu tofauti na wala sio unit moja kama ulivyoandika hapo juu.

kimajukumu, GSU ni sawa na FFU hapa tanzania. wanahusika zaidi na masuala ya kutuliza ghasia.ofcos ni unit inayoogopwa sana na wakenya kwa masuala ya kutuliza vurugu.

base yao ipo pembezoni mwa thika highway katika kituo cha matatu(daladala) cha allsops, mkono wa kushoto kama unatokea town(nairobi town) na mkono wa kulia kama unatokea roasters hotel.

wenyewe wapo strict sana kuzuia mgeni asiye mkenya kuingia kwenye base yao.lakini pia hata wenyeji ambao ni civilizians huwa wanakuguliwa sana kabla ya kuruhusiwa kuingia pale.

ila mimi niliingia pale four times kwa siku tofauti tofauti. usiniulize nilikuwa naingia kufanya nini.

kuhusu recce unit ziwezi kuandika sana maana sina taarifa zao kwa kina.ila nahisi ni special operation unit ya KDF.
mkenya MK254 atafafanua zaidi.

HQ ya GSU hii hapa.
View attachment 997497
recce sio kdf bali ni kitengo maalum kutoka GSU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes ni SAS member. Lakin inategemea kama ni yuko in active duty.. au yuko likizo.. au amestaaf.
Kumbuka hawa jamaa wakistaaf nchi bado inawatambua. Huwa wanatembea na ile elite patch ya SAS.. likitokea la kutokea basi wajue ni mwenzao.

Sent using Jamii Forums mobile app
SOMA HAPA CHINI NDIO UTAJUA YUKO LIKIZO AU KAZINI!!!
 
Attachments

Kwani Special Operation Command haiwezi kuwa ni kikosi ? Hebu tuanze kueleweshana hapa.......

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla ya ku execute mission yoyote. Kuna board huwa inakaa na kupanga ni vipi na ni jinsi gani mission husika itatekelezwa. Na kikosi gani kinafaa kwa mission husika.
Hapa wanakaa majenerali ( wale ambao wamepitia special forces).. the wanapanga. Wakisha panga ndio unit huwa selected na kutumwa eneo husika.. kiufupi hao ndio wanaopanga mission kabla ya unit husika kwenda na command zinatoka kwao.

Hiko sio kikosi. Ni command center inayopanga mission kwa vikosi husika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Spetznas ( Russia ) ndo kikosi bora duniani na ni mojawapo ya kikosi katili sana na kinaogopwa sana. Mafunzo yao ni balaa 80% ni pain endurance so mateso kwao ni burudani.
Kama kinaogopwa sababu ya mafunzo.. ninge suggest usome about british SAS.
92 % hufeli selection course.. almost askar watatu hupoteza maisha kwenye mafunzo..

Huwa hawachukui raia wa kawaida. Huchukua kutoka vikosi vingine vya jeshi.
Kikazi na level SAS ni tier 1
While spetznaz ni tier 2

Aisee...nazama chimbo zaidi
 
Correction. SAS huwa ndio unit bora zaid..
Selection ya SAS ni ngumu sana kuliko Navy seals.

SBS(special boat services). Hawa ni pacha wa SAS ila wamebobea kwenye maji.

Huyo unae muona hapo alikuwa off duty, au anaweza kuwa ex-SAS since wanaruhusiwa kustaaf ktk umri mdogo.
Huyu bwana alikuwepo eneo hilo wakati panavamiwa.. si kwamba alitumwa au kenya iliomba msaada hapana.
Ni tukio limemkuta akaamua kutoa msaada since yeye ni expert kwenye counter terrorism.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo alikuwa na silaha zake ready Kwa alshabab muda wowote mkuu.
 
Back
Top Bottom