Ni Kitendo cha Nadra sana kuwaona Askari wa Uingereza Special Air Service (SAS) na Navy Seals

Ni Kitendo cha Nadra sana kuwaona Askari wa Uingereza Special Air Service (SAS) na Navy Seals

kuna habari nilikuwa naisoma ktk gazeti la dairy mirror la Uk limethibitisha ya kuwa huyo msela ni SAS na alikuwa kenya kw ajili ya kuwafunza jeshi la kenya na imeripotiwa ya kuwa huyo SAS amerejeshwa UK kwa sababu za kiusalama wake kufuatia picha zake kuonekana sana mtandaoni na inahabarishwa pia huyo SAS alishashiriki operation nyingi za kuwashambulia magaidi wa Islamic State pasipo shaka jamaa ana profile kubwaaa mnoooo

Maisha haya ....
 
Correction. SAS huwa ndio unit bora zaid..
Selection ya SAS ni ngumu sana kuliko Navy seals.

SBS(special boat services). Hawa ni pacha wa SAS ila wamebobea kwenye maji.

Huyo unae muona hapo alikuwa off duty, au anaweza kuwa ex-SAS since wanaruhusiwa kustaaf ktk umri mdogo.
Huyu bwana alikuwepo eneo hilo wakati panavamiwa.. si kwamba alitumwa au kenya iliomba msaada hapana.
Ni tukio limemkuta akaamua kutoa msaada since yeye ni expert kwenye counter terrorism.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa wa kwetu wakiwa off duty au wakistaafu hufanya kazi za chama!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla ya ku execute mission yoyote. Kuna board huwa inakaa na kupanga ni vipi na ni jinsi gani mission husika itatekelezwa. Na kikosi gani kinafaa kwa mission husika.
Hapa wanakaa majenerali ( wale ambao wamepitia special forces).. the wanapanga. Wakisha panga ndio unit huwa selected na kutumwa eneo husika.. kiufupi hao ndio wanaopanga mission kabla ya unit husika kwenda na command zinatoka kwao.

Hiko sio kikosi. Ni command center inayopanga mission kwa vikosi husika

Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee.......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Spetznas ( Russia ) ndo kikosi bora duniani na ni mojawapo ya kikosi katili sana na kinaogopwa sana. Mafunzo yao ni balaa 80% ni pain endurance so mateso kwao ni burudani.
uko sasa sawa kabisa maana wanachokifanya syria huko ni zaidi ya shetani mwaka jana kuna spertsnaz mmoja aliua IS zaidi ya kumi na tano peke yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majirani na ndugu zetu Wakenya hawa wazungu waangalieni kwa macho zaidi ya mawili msije mkawa mnachezeshwa ngoma isiyo yenu
Baba yenu Kenyatta senior alikuwa mjanja saana kukataa kuchezeshwa ngoma inayoitwa Muungano na Znz siye wa Tz tukaingia ngomani, naam goma linatokota

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo yupo kwa ajili ya training kwenye Kenya special forces
Nilisoma kwenye gazeti la Mirror UK wanavyo msifia ni balaa
Jamaa lilimkuta tu tukio hilo akiwa na mambo yake ndipo akarudi kwenye gari lake ambapo zana zake zilikuwa humo.
Akavaa na kuchukua silaha na kuanza kutoa maelekezo kwa jeshi la kenya
Yaani jamaa alishika usukani mpaka anamaliza mission


Sent from my SM using Tapatalk
Check Africa uncensored on YouTube to see how things unfolded..The mirror waache propaganda
 
Mazee nimejiuliza kwanini Kenya Safari hii imewadhibiti haraka Magaidi Kumbe Kulikua kuna hawa Jamaa wanaotoka katika Most Elite Army Units on Earth

Tukianza na Navy Seal hawa ni Elites Army unit ya Marekani Wanao operate Katika Sea, Air na Land (combat) Interview na Mafunzo ya Navy Seal ni Magumu kuliko kikosi chochote cha Jeshi Ulimwenguni ni Vigumu sana kupambana nao wanajua Sana Kutumia Silaha na Kujilinda kwa kutumia miili yao Katika Tukio la Dusit walikuepo Navy Seal

Kuna British Special Air Service (SAS) hawa huwa hawaonekani Hovyo ni moja ya Vikosi bora wakiwa wamebobea katika mambo ya Kupambana na Ugaidi, na Kuokoa Mateka katlka Tukio la Dusit alikuepo mmoja ambaye alifika na Gari yenye namba za Ubalozi Akiwa na Mavazi ya Kulinda Mwili na Silaha na Alipambana na Magaidi Direct Mpaka Waingereza wenyewe wanashangaa kuwaona SAS wakipambana mchana kwani huwa wanapenda sana kufanya shughuli zao usiku.

SAS na Navy Seals ni watu waliondoka bila hata mkwaruzo wowote.


SAS huyu ana Kisu kipo tumboni hapo kinaonekana hapo kwa ajili ya mapambano ya Mkono kwa Mkono ana Pisto ana Hiyo Bunduki inayoitwa Modified Colt Canada Rifle Japo kichwani hana Helment huku akiwa katupia Jeans.
View attachment 997444

View attachment 997630



Najiuliza Kwenye Nchi zinazoendelea Elites Forces Unit kama hizi huwa zipo? Je ni kutokana na Uonevu wa Alshaabab Nchini Kenya Waliombwa waanzishe makazi yao nchini Kenya?
Check Africa uncensored on YouTube to see a better insight
 
Check Africa uncensored on YouTube to see how things unfolded..The mirror waache propaganda
Nimeangalia clip mbili na ya kwanza naona watu wanakimbia wengine wamepigwa risasi na jamaa anawaombea msaada wabebwe na pikipiki
Kabla sijaimaliza hiyo clip nimeamua kuiacha na kuja na maswali unisaidie
Hivi nchi inayojisifu na maendeleo hakuna ambulance kweli?
Yaani uber kafika kabla ya ambulance
Mtu kapigwa shaba unamuombea lift kama anaenda bar

Sent from my SM using Tapatalk
 
Nimeangalia clip mbili na ya kwanza naona watu wanakimbia wengine wamepigwa risasi na jamaa anawaombea msaada wabebwe na pikipiki
Kabla sijaimaliza hiyo clip nimeamua kuiacha na kuja na maswali unisaidie
Hivi nchi inayojisifu na maendeleo hakuna ambulance kweli?
Yaani uber kafika kabla ya ambulance
Mtu kapigwa shaba unamuombea lift kama anaenda bar

Sent from my SM using Tapatalk
After kua short Kwa parking walitokea Kwa main road kutafta usaidizi hakuna time y kupingia ambulance simu..nkutumia what is available
 
these are the guys who killed those attackers
 

Attachments

  • Kenyan-Army-Special-Operations-Regiment-SOR-9.jpg
    Kenyan-Army-Special-Operations-Regiment-SOR-9.jpg
    68.6 KB · Views: 35
Back
Top Bottom