scot mcomic
JF-Expert Member
- Apr 17, 2021
- 234
- 383
Wakuu habarini za weekend nisipteze muda sasa ni wiki ya tatu sasa napata kiungulia kikali, kizungu zungu yaani kuna muda nikisimama kama naona naanguka hivi, lips zinauma mara nyingine kichefuchefu. Je wataalam wa JF hali hii inayonitokea, nitakuwa nasumbuliwa na nini?
Natanguliza Shukran zangu
Natanguliza Shukran zangu