Ni kitu gan kinanisumbua wakuu msaada tafadhali

Pole mkuu. Tumia dawa kwa usahihi utapona . Nadhani hapo wamekuandikia antibiotic za siku 14. Usipopona utabadilishiwa dawa.
Nimepew dawa za wiki mbili kweli mkuu je baada ya hapo nawez rudia mlo wa kawaid mkuu maana saiv nimepew makatazo sana
Alaf vip kuusu kuuma kwa lips maan hususan za juu zinauma wakati mwingine
 
Hizo bacteria zina affect mfumo mzima wa digestion. Masharti nilazima uzingatie baada ya mwezi unaweza kududia kupima kama umepona vidonda vimepona na bacteria wameisha hapo ndio utakuwa kawaida lakini kama vidonda havijapona lakini bacteria wameisha itakubidi kuzingatia masharti kwa muda . Mpaka ukae sawa. Kumbuka vidonda vinapona na bacteria wanaosababisha vidonda wanakufa. Ndipo utakaa sawa.
 
Umenitia moyo mkuu shukran sana
 
Back
Top Bottom