Ni kitu gani ambacho hauna na wala hakikusumbui kichwa?

Ni kitu gani ambacho hauna na wala hakikusumbui kichwa?

Kwan lazima kuwa na iphone ? Ungesema huna simu ndio sawa,
Mana kwa style hio mtu atasema mim sina Samsung wala Tecno na nipo sawa 😂😂

Anyway, mm sijawahi kuwa sawa nikiwa sina kitu nachokitaka, yan hata sasa sipo sawa kwa sabab kuna hela nataka na sina
 
Hili mansion lake umeliona wapi nami nilicheki mana niko kwenye group zake za kuuza madungu zile za whatsapp

Usipime mkuu ,Jamaa ana Mansion la hatari ,yaani kazidi hadi Mansion la Samia ,Lipo Mbweni JKT .

Jamaa alianza kuonyesha nyumba yake ndogo ya chanika watu wakamcheka sana inakuwaje ameishi UK zaidi ya miaka 15 halafu ana nyumba utafikiri zahanati ya kijiji ,aisee kumbe jamaa alikuwa anajenga pia Mbweni JKT ,ikabidi aonyeshe pia mansion la mbweni na kuwaziba watu midomo...Lile Jumba zaidi ya la Samia.
 
Back
Top Bottom