Ni kitu gani ambacho hauna na wala hakikusumbui kichwa?

Ni kitu gani ambacho hauna na wala hakikusumbui kichwa?

sijui kwa wengine, nafikiri hata kukikumbuka hicho kitu ni kadalili fulani angalau ka kujali, kwangu mimi nikiona hata mawazoni naki search kwa shida hakiji, hapo nimefika kwenye level ya kusema sijali.
 
Angekuwa anaishi Itigi angekuwa apeche alolo? Au angekomaa na kuuza mkaa je?
Usipime mkuu ,Jamaa ana Mansion la hatari ,yaani kazidi hadi Mansion la Samia ,Lipo Mbweni JKT .

Jamaa alianza kuonyesha nyumba yake ndogo ya chanika watu wakamcheka sana inakuwaje ameishi UK zaidi ya miaka 15 halafu ana nyumba utafikiri zahanati ya kijiji ,aisee kumbe jamaa alikuwa anajenga pia Mbweni JKT ,ikabidi aonyeshe pia mansion la mbweni na kuwaziba watu midomo...Lile Jumba zaidi ya la Samia.
 
Shukrani kuweka sawa hilo Mkuu 🙏🙏
1710442234462.jpg
 
Back
Top Bottom