Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo nikupe kuna gari moja inaoza hakuna mwendeshaji 😎Mimi kuna vitu sina na vinanisumbua, kusema havinisumbui ntakua nadanganya.
Gari
Nyumba
Shamba
Elimu zaidi nk.
Ngoja niendelee kupambana.
Vitu ambavyo huna na haviwezi kukuumiza moyo ni vile ambavyo you can afford.
Mfano kuna watu wana hela ila unakuta ana Tecno ya 250,000 tu. Kuna muhindi ana apartments kibao halafu anatumia Toyota Premio huyu akisema hana LC300 na haimuumizi kichwa nitamuelewa.
Mkuu kweli upo serious? Are there terms and conditions?Njoo nikupe kuna gari moja inaoza hakuna mwendeshaji 😎
T and CsMkuu kweli upo serious? Are there terms and conditions?
Kutokuuza sawa ila hapo kwenye kuthibitisha ni vipi huo uwezo wa kulihudumia? nadhani ni hadi ikitokea changamoto au ikifika muda wa service ndiyo utaona kama nimelihudumia or not?T and Cs
-Hakuna kuuza
-Thibitisha uwezo wa kulihudumia
Kiukweli yes maana gari now siyo luxury ni among basic needs , huwa nasumbuka sana sababu ya usafiri aisee🙄naona umeanza na top priority, ambayo ni gari
😂😂Sina wezele na wala sijali
Tesla 😁😁😁Uongooo
Akili yako unaijua mwenyewe mzabzab 😀😀😀😀Sina de libolo wala sijali kibamia bado kinatema wadhungu
Gari anasa.. Kila mtu akiwa na gari boda tufe njaa?Kiukweli yes maana gari now siyo luxury ni among basic needs , huwa nasumbuka sana sababu ya usafiri aisee🙄
No mtasurvive tu bana, kuna muda utatumia boda badala ya gariGari anasa.. Kila mtu akiwa na gari boda tufe njaa?
Hahaha ebu wee niambie kipi huna na bado maisha yanasongaAkili yako unaijua mwenyewe mzabzab 😀😀😀😀
Nimeshasema hapo juu mkuu😀Hahaha ebu wee niambie kipi huna na bado maisha yanasonga
😳😳😳 Mwendo umeumalizaSina hofu ya Mungu/mfungamano na dini yeyote.
Njoo PMKutokuuza sawa ila hapo kwenye kuthibitisha ni vipi huo uwezo wa kulihudumia? nadhani ni hadi ikitokea changamoto au ikifika muda wa service ndiyo utaona kama nimelihudumia or not?
Pia vipi kuniuzia hata kwa kulipia kidogo kidogo inawezekana?