Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
KC ana nyumba aiseee!! Umeona na ile bar yake sasa!!Usipime mkuu ,Jamaa ana Mansion la hatari ,yaani kazidi hadi Mansion la Samia ,Lipo Mbweni JKT .
Jamaa alianza kuonyesha nyumba yake ndogo ya chanika watu wakamcheka sana inakuwaje ameishi UK zaidi ya miaka 15 halafu ana nyumba utafikiri zahanati ya kijiji ,aisee kumbe jamaa alikuwa anajenga pia Mbweni JKT ,ikabidi aonyeshe pia mansion la mbweni na kuwaziba watu midomo...Lile Jumba zaidi ya la Samia.
Sema madungu nasikia mabovu yale ukinunua lazima likufie 🤣🤣🤣