Nikitaja hapa nitaonekana wa ajabu [emoji23][emoji23]Sema vichache mtakatifu
sasa si tunafanana😂😂😂😂au unataka niseme sipendi kula au sipendi helaKwahiyo Ndo umeamua kuingia sio!!sema vyako mama kuegelezea tuliacha shule ya msingi 😅😅
Yaani kungekuwa na uwezekano wa kuvaa nguo mara moja then unanunua nyengine bila kufua na kuzirudia ningefurahi
Mbona unacheka tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
nimefurahiMbona unacheka tena
Sema sweetie nipo kwaajili yako usione haya...😉Vingi tu
Nikisema sikupendi utafanyaje[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sema sweetie nipo kwaajili yako usione haya...[emoji6]
Naona unataka kunitisha..😂 mpk kamoyo kamefanya pwaaaa..! Wacha zako..Nikisema sikupendi utafanyaje[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi buana sipendi kutembea tembea,yaani kutembea kwa namna yoyote ile iwe kwa gari,miguu nk.
Natamani ningekuwa na kila kitu nitoke j2 tu kwenda kuabudu.
Yaani mimi maisha tu yananifanya nitembee.Naona unataka kunitisha..[emoji23] mpk kamoyo kamefanya pwaaaa..! Wacha zako..
Kuna watu huwa wanatembea bila hata sababu! Sababu zitapatikana hukohuko kwenye matembezi..[emoji12]
We dawa yako ni kukutuma tu..
Porini tutakaa tu nami ndo nakokupenda huko ili tunanili vizuri..😜Yaani mimi maisha tu yananifanya nitembee.
Last week kahoma kalinibana,yaani nimekaa chumbani siku km 4 hivi sijatoka hata sebuleni..halafu nilikuwa naona kawaida,cha ajabu nilipotoka wakawa wananishangaa[emoji23][emoji23]
Ukinioa babe jitahidi kuwa na kila kitu nyumbani.. sipendi kuzurura mie, sipendi stori na watu, napenda kukaa mwenyewe na ikiwezekana Jenga nyumba porini huko tukakae huko
Sasa tafuta hela sasa ukajenge huko na uweke kila kituPorini tutakaa tu nami ndo nakokupenda huko ili tunanili vizuri..[emoji12]