Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

Nikisema sikupendi utafanyaje[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mimi buana sipendi kutembea tembea,yaani kutembea kwa namna yoyote ile iwe kwa gari,miguu nk.
Natamani ningekuwa na kila kitu nitoke j2 tu kwenda kuabudu.
Mwanaume atakaekupata atakuwa amepata kilicho bora..ila ukija kubadilika hakuna rangi ataacha kuona😅😅
 
Naona unataka kunitisha..😂 mpk kamoyo kamefanya pwaaaa..! Wacha zako..

Kuna watu huwa wanatembea bila hata sababu! Sababu zitapatikana hukohuko kwenye matembezi..😜
We dawa yako ni kukutuma tu..
Bradha 🤝🤝🤝🤝🤝🤝nakuona😅😅
 
Yaani mimi maisha tu yananifanya nitembee.
Last week kahoma kalinibana,yaani nimekaa chumbani siku km 4 hivi sijatoka hata sebuleni..halafu nilikuwa naona kawaida,cha ajabu nilipotoka wakawa wananishangaa[emoji23][emoji23]

Ukinioa babe jitahidi kuwa na kila kitu nyumbani.. sipendi kuzurura mie, sipendi stori na watu, napenda kukaa mwenyewe na ikiwezekana Jenga nyumba porini huko tukakae huko
Sio porini mtakatifu mwambie ajenge he msituni...😅😅
 
Mwanaume atakaekupata atakuwa amepata kilicho bora..ila ukija kubadilika hakuna rangi ataacha kuona[emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ujue Mimi sometimes nasemwa Sana kuwa najisikia.
Binadamu gani sitaki kujichanganya na watu..ila najichanganyaga tu j2 kwa Sababu tu sina namna na nikiwa na mama yaani ndio tutasalimia watu mweee hadi nachoka
 
Back
Top Bottom