Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Hakika [emoji3]Hapo safi mtakatifu hutopata shida[emoji28]
Kila kitu tu kiwepo[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani Mimi huwa nawaza vitu vya kusaidikika[emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika [emoji3]Hapo safi mtakatifu hutopata shida[emoji28]
I love you nowSafi sana kijana [emoji1666][emoji1666][emoji1666]
Sikushangai mtakatifu ila nafikiri ni kwa sababu kuna maisha mengine ya kazi na mengine bado hujajichanganya nayo..pengine[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ujue Mimi sometimes nasemwa Sana kuwa najisikia.
Binadamu gani sitaki kujichanganya na watu..ila najichanganyaga tu j2 kwa Sababu tu sina namna na nikiwa na mama yaani ndio tutasalimia watu mweee hadi nachoka
Kwani inakatazwa? Wengi tuu tunafanya hivo.Yaani kungekuwa na uwezekano wa kuvaa nguo mara moja then unanunua nyengine bila kufua na kuzirudia ningefurahi
Ooh!si tunafuaga inavaliwa asubuhi inavaliwa tenaKwani inakatazwa? Wengi tuu tunafanya hivo.
[emoji23][emoji23]I love u three mdogo wangu..
Siwezi kukwambia ila ukikosea nakwambia ukweli siwezi kukuficha
Siyo kila siku. Siku nyingine shimo linatema siku nyingine naangukia pua.Kwanini ndo hivyo tena...
Si unapiga mkwanja lkni
Ohh!sawa womanTransparent woman [emoji736]
[emoji3344][emoji3344][emoji3344][emoji3344][emoji3344]
Huo ubweche inaelekea ni konki sana😅😅🧚♀️😅nikaribishe huko kwa rungwe ndugu yanguSipendi kuwepo ccm ndio maana saizi nipo huku kwa hashimu rungwe napo
ni kwa sababu ya hii kitu
View attachment 1568862