Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

Huo ubweche inaelekea ni konki sana[emoji28][emoji28][emoji3344][emoji28]nikaribishe huko kwa rungwe ndugu yangu
Very close very close(Karibu sana karibu sana) Ww jihakikishie tu usalama wa ladha yako ukiwa na
18-56-58-images.jpg
 
Ngoja siku udondoke mwili mzima ndipo utatia akili[emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23]Nahisi itakapo tokea hiyo naweza punguza speed. Shida nashindwa kulala kama sina mkeka yan ile hali ya kukaa kihasara hasara sipendi mwisho nitaanza kuwaza mambo mabaya. Si unajua ule msemo ana idle mind is the workshop of devil.

At least nikilala nafikiria mikeka nakua na afadhali kidogo.
 
Nakuelewa sana mkuu..
Pole sana na hongera kwa kuwa na moyo wa utoaji na kujali watu wengine..Mungu azidi kukutia nguvu,moyo,na uwezo wa kifedha uendelee kuwasaidia watu kwa kadri ya matamanio ya moyo wako.😊

Kuna kitu umenipandikiza kwa mara nyingine na kunikumbusha niliichozungumza na Mungu.😊😊😊😊😊😊

Napokea maombi yako. Nawe pia Mungu akupe haja ya moyo wako.
 
Sipendi kufundishwa napenda kusoma mwenyewe vile vitu nina interest navyo. Tatizo linaanza lazima nifanyie mitihani kile kilichoelekezwa hivyo lazima nisome.

Sipendi kutongoza. Natamani ile mnakubaliana tu kwa mkataba sio mambo ya 'wewe ndo kila kitu kwangu'. Walionilea utotoni waliniharibu kuondoa elements za uongo kabisa. Nalazimika tu nikizidiwa ila nikipata tulizo niliyemtongoza jana akaelekea naweza nisimtafute kwa miezi kadhaa (nitamrejea kumtongoza tena)

Sipendi kukosoa. Mimi ni mkosoaji mkubwa mno, nikipata huduma mbovu sehemu natafuta msimamizi. Nikimuona natoa mapendekezo utadhani nilichangia mtaji. Hii hali siipendi kwa vile inachukiza watu ila inanikereketa sana nisipotekeleza. Wanaonijua wakifanya kitu wananiletea nikosoe.
 
[emoji23][emoji23]Nahisi itakapo tokea hiyo naweza punguza speed. Shida nashindwa kulala kama sina mkeka yan ile hali ya kukaa kihasara hasara sipendi mwisho nitaanza kuwaza mambo mabaya. Si unajua ule msemo ana idle mind is the workshop of devil.

At least nikilala nafikiria mikeka nakua na afadhali kidogo.
Sawa mkuu nitakuja unifundishe mikeka..sijawahi na sijuagi kucheza loh!!
 
Sipendi kufundishwa napenda kusoma mwenyewe vile vitu nina interest navyo. Tatizo linaanza lazima nifanyie mitihani kile kilichoelekezwa hivyo lazima nisome.

Sipendi kutongoza. Natamani ile mnakubaliana tu kwa mkataba sio mambo ya 'wewe ndo kila kitu kwangu'. Walionilea utotoni waliniharibu kuondoa elements za uongo kabisa. Nalazimika tu nikizidiwa ila nikipata tulizo niliyemtongoza jana akaelekea naweza nisimtafute kwa miezi kadhaa (nitamrejea kumtongoza tena)

Sipendi kukosoa. Mimi ni mkosoaji mkubwa mno, nikipata huduma mbovu sehemu natafuta msimamizi. Nikimuona natoa mapendekezo utadhani nilichangia mtaji. Hii hali siipendi kwa vile inachukiza watu ila inanikereketa sana nisipotekeleza. Wanaonijua wakifanya kitu wananiletea nikosoe.
😅😅😅😅😅😅😅😅

Aiseh mkuu umetisha kuna vitu unavyo na huwa haviepukiki kwa mtu aliyebarikiwa navyo..
Kwa mfano kutoa dukuduku😅😅
 
I love u 4 this,naomba uwe wifi yangu....we 'll get along[emoji28]
Waow Asante kwa kunipenda[emoji7][emoji7]
Naomba unipe huyo kaka yako anioe jamani [emoji23][emoji23][emoji23]
Kazi yangu itakuwa kulea kumpenda na kumhudumia yeye na watoto wetu.
Nipo bado nyumbani Sina mchumba,binti Safi kabisa mwilini na rohoni tayari kwa kuwa mwanamke mke wa mtu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom