Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

Sitapenda kabisa kumu kwaza mchumba wangu siku nikija kuwa nae
Akinikosea nampa likizo ya miezi sita Dubai ili tusionane[emoji4][emoji4]
 
Pale ukifikiria kuna kufua baadae ndo kabisaa kichwa kinawaka[emoji28]
Napenda sana kupika,,ni kazi amba hata nikiifanya kwanzia asubuhi mpka kesho yake asubuhi sichoki kabisa..lakini hizo kazi nyingine 🤣🤣🤣bwana atete nami:.ila ndo hivyo tema hakuna namna
 
Yaani mimi maisha tu yananifanya nitembee.
Last week kahoma kalinibana,yaani nimekaa chumbani siku km 4 hivi sijatoka hata sebuleni..halafu nilikuwa naona kawaida,cha ajabu nilipotoka wakawa wananishangaa[emoji23][emoji23]

Ukinioa babe jitahidi kuwa na kila kitu nyumbani.. sipendi kuzurura mie, sipendi stori na watu, napenda kukaa mwenyewe na ikiwezekana Jenga nyumba porini huko tukakae huko
I love u 4 this,naomba uwe wifi yangu....we 'll get along[emoji28]
 
Napenda sana kupika,,ni kazi amba hata nikiifanya kwanzia asubuhi mpka kesho yake asubuhi sichoki kabisa..lakini hizo kazi nyingine [emoji1787][emoji1787][emoji1787]bwana atete nami:.ila ndo hivyo tema hakuna namna
Unachokipenda natamani kukipenda ila ndo sipendi kukaa jikoni kila siku jaman[emoji35] yan naonaga maisha magumu!....ningekuwa ww nahisi ningeshamiliki bonge la restaurant now
 
Unachokipenda natamani kukipenda ila ndo sipendi kukaa jikoni kila siku jaman[emoji35] yan naonaga maisha magumu!....ningekuwa ww nahisi ningeshamiliki bonge la restaurant now
Dah!Lady hupendi ku cook sasa when u finally get engaged do you think the man will tolerate your behavior[emoji4]
 
Nnapoweza nafanya hivyo ila sina uwezo wa kuwasaidia watu wote nyakati zote. Hiyo kukosa huo uwezo ndio nnayoichukia.
Nakuelewa sana mkuu..
Pole sana na hongera kwa kuwa na moyo wa utoaji na kujali watu wengine..Mungu azidi kukutia nguvu,moyo,na uwezo wa kifedha uendelee kuwasaidia watu kwa kadri ya matamanio ya moyo wako.😊

Kuna kitu umenipandikiza kwa mara nyingine na kunikumbusha niliichozungumza na Mungu.😊😊😊😊😊😊
 
Unachokipenda natamani kukipenda ila ndo sipendi kukaa jikoni kila siku jaman[emoji35] yan naonaga maisha magumu!....ningekuwa ww nahisi ningeshamiliki bonge la restaurant now
Ndicho kitu ninachokipenda kuliko vyote aiseh..

Kaa na mimi karibu nitakuambukiza kupenda kupika😊😊😊
 
Hahahaaa the good news is......i can cook really good when i want to & cooking for my man 'll always be my pleasure[emoji56]
That's good to hear
Its a pleasure for any man to have a wife who really knows how to cook and cooks good meals
Congrats[emoji4]
 
Back
Top Bottom