Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Hii scenerio nimeipenda[emoji28]....alaf awe mtanashati yan kale kamvuto kakichokozi kwa mbalii bac lazma convo iwe on [emoji91]Napenda kusafiri pembeni yangu akae mwanaume mrefu mpole mpole lkni mchangamfu[emoji6][emoji6][emoji6]safari itakuwa fupi..
Kuna vitu vitabadilika taratib kabisa mama
Jitahid uwe unakunywa tu maana maji ni uhai...weka hata limao na asali kwa mbali km unataka uyaone matamuSipendi kuna maji
Huwa nakunywa kwa lazima nikibanwa na kwikwi..Leo sikumbuki hata kama nilikunywa maji
Kweli duniani wawili wawili[emoji85].....ww ni mm[emoji28]Yes nikiwa pekee yangu ni kushinda uchi kabisa ya full suti
Unaanzaje kuwa peke yako wakati wadau wenzio tupo kwenye hyo no vyupi saga[emoji1787][emoji85]Ndio mama...[emoji3344][emoji3344][emoji3344]...
Nilijua kutokuvaa kufuli ni mimi peke yangu loh..ila huyu mjamaa asipovalishwa kyupi a nafurahi sana[emoji28][emoji28][emoji85][emoji85][emoji85]
[emoji28][emoji28]ndio hivyo lkni tunakuwa hatuna mnama...ni kuendelea kufanya vile tusivyovipenda ila maisha mengine yapste kwenda.
Nimefurahi kukuona tena madame Mtende
Kuna kipindi nilikuwa nafanya hivyoJitahid uwe unakunywa tu maana maji ni uhai...weka hata limao na asali kwa mbali km unataka uyaone matamu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwa kweliNunua gari yako mama[emoji28][emoji28]
[emoji134][emoji134]Utakwenda na maji aise..
Hujui kama maji ni uhai..hebu kunywa maji huko acha mambo yako
Usisahau awe mrefu na mwenye kunukia ohooooo.....Hallelujah π§ββοΈπ§ββοΈπ§ββοΈHii scenerio nimeipenda[emoji28]....alaf awe mtanashati yan kale kamvuto kakichokozi kwa mbalii bac lazma convo iwe on [emoji91]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna vitu ndani yetu inabidi tupambane navyo ili tujitendee haki mpenz hata km ni kero kwetuKuna kipindi nilikuwa nafanya hivyo
Hadi nikaweka app kwa simi yangu inaitwa Drink water.kila alarm ikilia nakunywa hata robo kikombe kwa siku najikuta angalau nimekunywa hata glass 3.
Siku hizi app nishaitupilia mbali maskini Mimi sijui hata nipoje.
Kama mwanaume mwenzangu ndio kabisa.Hujawahi kuwa na mshikaji mwenye vituko na mastory km yote alaf hamuonani kila mara so mnajikuta mikasa yote mnapeana kwenye simu.Lisaa lazma lisome[emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesahau namba yangu ya siri ya bank utanisaidiajefanya ivyo basi
wuhuuuuuuuπππππUnaanzaje kuwa peke yako wakati wadau wenzio tupo kwenye hyo no vyupi saga[emoji1787][emoji85]
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwe unaomba Mkaka aliyekaa pembeni akupakateSipendi kabisa kusimama kwenye daladala.
Hiyo hatari sana.Sipendi kuna maji
Huwa nakunywa kwa lazima nikibanwa na kwikwi..Leo sikumbuki hata kama nilikunywa maji