Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

Sipendi kunywa maji
Huwa nakunywa kwa lazima nikibanwa na kwikwi..Leo sikumbuki hata kama nilikunywa maji
 
Ndio mama...[emoji3344][emoji3344][emoji3344]...

Nilijua kutokuvaa kufuli ni mimi peke yangu loh..ila huyu mjamaa asipovalishwa kyupi a nafurahi sana[emoji28][emoji28][emoji85][emoji85][emoji85]

[emoji28][emoji28]ndio hivyo lkni tunakuwa hatuna mnama...ni kuendelea kufanya vile tusivyovipenda ila maisha mengine yapste kwenda.

Nimefurahi kukuona tena madame Mtende
Unaanzaje kuwa peke yako wakati wadau wenzio tupo kwenye hyo no vyupi saga[emoji1787][emoji85]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jitahid uwe unakunywa tu maana maji ni uhai...weka hata limao na asali kwa mbali km unataka uyaone matamu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kipindi nilikuwa nafanya hivyo
Hadi nikaweka app kwa simi yangu inaitwa Drink water.kila alarm ikilia nakunywa hata robo kikombe kwa siku najikuta angalau nimekunywa hata glass 3.

Siku hizi app nishaitupilia mbali maskini Mimi sijui hata nipoje.
 
Kuna vitu ndani yetu inabidi tupambane navyo ili tujitendee haki mpenz hata km ni kero kwetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom