Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

Labda kwa kuwa unaishi mkoani mama:..siku ukihamia dar hiyo kauli hutoisema labda uwe na usafiri wako
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nadhani nikiishi dar nitatamani hata hiyo nafasi ya kusimama.
Huku mikoani kwetu vijijini unapanda tu daladala nyingine yenye nafasi
 
Sipendi kuvuta sigara lakini najikuta tu nimenunua navuta...usiku najiapiza nikiamka asubuhi sivuti fegi, ikifika asubuhi niko dukani kwa Muha nanunua fegi, kimoyo moyo najisemea hii ndo fegi ya mwisho kuvuta sivuti tena...kesho inakuwa hivohivo tena nisaidieni wakuu
 
Back
Top Bottom