Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
[emoji120][emoji120][emoji120]Mimi ni mtumishi wa Mungu
Halafu tunaojisikia vibaya ni sis wenye Hilo tatizo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji120][emoji120][emoji120]Mimi ni mtumishi wa Mungu
Halafu tunaojisikia vibaya ni sis wenye Hilo tatizo
Jamani Behaviourist unanichumia dhambi..Nina mda mrefu mno sijaishika hata hiyo glass moja..loh😢😢Anakunywa bia glass mbilimbili![emoji316][emoji316][emoji316]
Kapime mapafu yako,kama ni mazima hayajaathirika,uyachukue hapo yalipo ukayalinganisha na yale mapafu yaliyoathirika kwa sigara......Sipendi kuvuta sigara lakini najikuta tu nimenunua navuta...usiku najiapiza nikiamka asubuhi sivuti fegi, ikifika asubuhi niko dukani kwa Muha nanunua fegi, kimoyo moyo najisemea hii ndo fegi ya mwisho kuvuta sivuti tena...kesho inakuwa hivohivo tena nisaidieni wakuu
Kwa hiyo wewe hobby yako ni nini?Jamani Behaviourist unanichumia dhambi..Nina mda mrefu mno sijaishika hata hiyo glass moja..loh[emoji22][emoji22]
Hupendelei dushe?Kupika,kuimba imba nakusikiliza gud music
Hamna hayajaathirika...yako poa tu..nimepima mwezi wa 7 mwaka huu...ila nataka kuacha fegi na mtihani ndo unaanzia hapo!!!...kuna vitu katika life yangu nshaviacha lakini fegi ndo inanizinguaKapime mapafu yako,kama ni mazima hayajaathirika,uyachukue hapo yalipo ukayalinganisha na yale mapafu yaliyoathirika kwa sigara......
Ukimaliza fanya [emoji115]kitu hapo juu uniambie
Sipendi sigara wala kumuona mtu akiivuta ila nakuwa sina namna.Hamna hayajaathirika...yako poa tu..nimepima mwezi wa 7 mwaka huu...ila nataka kuacha fegi na mtihani ndo unaanzia hapo!!!...kuna vitu katika life yangu nshaviacha lakini fegi ndo inanizingua
Mfano niliacha kucheza kamari, niliacha kuangalia porn, niliacha kulewa,niliacha kupiga puri, na mengineyo, kilichobaki ni fegi ...na naamini ntaweza ni suala la muda...lakini kama una ushauri usisite kunishauri...
Ukivuta unapata faida gani?Hamna hayajaathirika...yako poa tu..nimepima mwezi wa 7 mwaka huu...ila nataka kuacha fegi na mtihani ndo unaanzia hapo!!!...kuna vitu katika life yangu nshaviacha lakini fegi ndo inanizingua
Mfano niliacha kucheza kamari, niliacha kuangalia porn, niliacha kulewa,niliacha kupiga puri, na mengineyo, kilichobaki ni fegi ...na naamini ntaweza ni suala la muda...lakini kama una ushauri usisite kunishauri...
Wewe hupendelei vitu gani?[emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji15][emoji15] vitu vya ajabu...Anne hebu acha mambo yako basi.unanipa ukakasi loh[emoji28][emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hupendelei dushe?
Mimi sipendelei kuokoka/kuwa mlokoleWewe hupendelei vitu gani?
Kwanini?Mimi sipendelei kuokoka/kuwa mlokole
Catalyst fulani hivi...sio kilevi...ni kichocheo cha raha fulani mwilini....na sigara huwa bomba zaidi ukivuta umelewa au ukiwa umevuta bangiUkivuta unapata faida gani?
Usipovuta unajisikiaje?Catalyst fulani hivi...sio kilevi...ni kichocheo cha raha fulani mwilini....na sigara huwa bomba zaidi ukivuta umelewa au ukiwa umevuta bangi