Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

Kapime mapafu yako,kama ni mazima hayajaathirika,uyachukue hapo yalipo ukayalinganisha na yale mapafu yaliyoathirika kwa sigara......
Ukimaliza fanya 👆kitu hapo juu uniambie
 
Kapime mapafu yako,kama ni mazima hayajaathirika,uyachukue hapo yalipo ukayalinganisha na yale mapafu yaliyoathirika kwa sigara......
Ukimaliza fanya [emoji115]kitu hapo juu uniambie
Hamna hayajaathirika...yako poa tu..nimepima mwezi wa 7 mwaka huu...ila nataka kuacha fegi na mtihani ndo unaanzia hapo!!!...kuna vitu katika life yangu nshaviacha lakini fegi ndo inanizingua
Mfano niliacha kucheza kamari, niliacha kuangalia porn, niliacha kulewa,niliacha kupiga puri, na mengineyo, kilichobaki ni fegi ...na naamini ntaweza ni suala la muda...lakini kama una ushauri usisite kunishauri...
 
Sipendi sigara wala kumuona mtu akiivuta ila nakuwa sina namna.

Weka nadhiri na Mungu hapo utaacha maana utaogopa adhabu ya Mungu.

Pole sana
 
Ukivuta unapata faida gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…