Hayo ndio madhara ya kuwa mlokole au dini kali πππ!!! Jimix na walimwengu or else you will be a very fine wife but boring as hell.Sidhani
Yaani kadiri siku zinavyozidi kusonga mbele ndivyo nazidi kuwa anti social
Mie huwa napenda mtu understanding zaidi, pengine ndio maana sipendi kutongoza hovyo. Napenda mtu anaeweza kusoma hisia zangu mapema akanielewa na ndio patners ambao nimedumu nao muda mrefu kuliko ambao niliwatongoza.Sipendi kufundishwa napenda kusoma mwenyewe vile vitu nina interest navyo. Tatizo linaanza lazima nifanyie mitihani kile kilichoelekezwa hivyo lazima nisome.
Sipendi kutongoza. Natamani ile mnakubaliana tu kwa mkataba sio mambo ya 'wewe ndo kila kitu kwangu'. Walionilea utotoni waliniharibu kuondoa elements za uongo kabisa. Nalazimika tu nikizidiwa ila nikipata tulizo niliyemtongoza jana akaelekea naweza nisimtafute kwa miezi kadhaa (nitamrejea kumtongoza tena)
Sipendi kukosoa. Mimi ni mkosoaji mkubwa mno, nikipata huduma mbovu sehemu natafuta msimamizi. Nikimuona natoa mapendekezo utadhani nilichangia mtaji. Hii hali siipendi kwa vile inachukiza watu ila inanikereketa sana nisipotekeleza. Wanaonijua wakifanya kitu wananiletea nikosoe.
Mungu anakuona.Waow Asante kwa kunipenda[emoji7][emoji7]
Naomba unipe huyo kaka yako anioe jamani [emoji23][emoji23][emoji23]
Kazi yangu itakuwa kulea kumpenda na kumhudumia yeye na watoto wetu.
Nipo bado nyumbani Sina mchumba,binti Safi kabisa mwilini na rohoni tayari kwa kuwa mwanamke mke wa mtu[emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee ni kero kubwa sana!..sema kwa sababu napenda kuwa msafi inanibidi nifue tu.Hapa nafikiria kununua washing machine,mopper na dish washer sema nikikumbuka umeme utakavyoenda nasikia kizunguzungu kabisaa[emoji1751]We pia haupendi kufua mama?
[emoji28][emoji28]test mitambooAaaa wapi...
Ss hapo tabu iko moja nakumbuka i used to know some1 lyk u,tukawa very close kwa mm nilivyomsoma ni kwamba alikuwa anaenjoy tukiwa wote ila hatukuwa seriously in that dive.Kumbe mwenzangu alifall banah...siku nipo na a long time male friend of mine restaurant flani akanichek tuonane maana hakuwa mbali na hapo basi nikamwambia aje tu,Guess what happened next.....Mie huwa napenda mtu understanding zaidi, pengine ndio maana sipendi kutongoza hovyo. Napenda mtu anaeweza kusoma hisia zangu mapema akanielewa na ndio patners ambao nimedumu nao muda mrefu kuliko ambao niliwatongoza.
It sucks kuanza kumdanganya mtu mzima kwamba she is your everything and bla bla whilst kimsingi unataka companionship tu. Mapenzi yatajijenga taratibu as your know eachother well ila guess what? Huwezi kupata mtu bila kumtia fix flani. Naboeka!!!
Kabla sijacomment utopole alikua tall or short guySs hapo tabu iko moja nakumbuka i used to know some1 lyk u,tukawa very close kwa mm nilivyomsoma ni kwamba alikuwa anaenjoy tukiwa wote ila hatukuwa seriously in that dive.Kumbe mwenzangu alifall banah...siku nipo na a long time male friend of mine restaurant flani akanichek tuonane maana hakuwa mbali na hapo basi nikamwambia aje tu,Guess what happened next.....
Ila mm napenda mtu straight yan ukija ukaniambia unahitaji companionship na ukaniweka wazi kwa kila kitu,aisee i always appreciate it na lazma uwe rafiki yangu wa kudumu.Mie huwa napenda mtu understanding zaidi, pengine ndio maana sipendi kutongoza hovyo. Napenda mtu anaeweza kusoma hisia zangu mapema akanielewa na ndio patners ambao nimedumu nao muda mrefu kuliko ambao niliwatongoza.
It sucks kuanza kumdanganya mtu mzima kwamba she is your everything and bla bla whilst kimsingi unataka companionship tu. Mapenzi yatajijenga taratibu as your know eachother well ila guess what? Huwezi kupata mtu bila kumtia fix flani. Naboeka!!!
Anakataa pema huyu. Pabaya panamuita.Jizazi
Eti fursa ππππlabda kama utakua unatufulia bureHeheh hapa naiona fursa π hebu jikusanyeni mfike hata 100 hivi
ππππππaahNingeshangaa hapa kama ungeongea kinyume na hivyo.
Washing machine haili umeme kabsaAisee ni kero kubwa sana!..sema kwa sababu napenda kuwa msafi inanibidi nifue tu.Hapa nafikiria kununua washing machine,mopper na dish washer sema nikikumbuka umeme utakavyoenda nasikia kizunguzungu kabisaa[emoji1751]
Hivi enh basi watu wananitishaga et inakula sana umemeWashing machine haili umeme kabsa
Wastani mkuu sio mrefu wala sio mfupiKabla sijacomment utopole alikua tall or short guy
Hapana bana labda kama mtumbaHivi enh basi watu wananitishaga et inakula sana umeme
God's timing is perfect.Anakataa pema huyu. Pabaya panamuita.