Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

Sipendi kufundishwa napenda kusoma mwenyewe vile vitu nina interest navyo. Tatizo linaanza lazima nifanyie mitihani kile kilichoelekezwa hivyo lazima nisome.

Sipendi kutongoza. Natamani ile mnakubaliana tu kwa mkataba sio mambo ya 'wewe ndo kila kitu kwangu'. Walionilea utotoni waliniharibu kuondoa elements za uongo kabisa. Nalazimika tu nikizidiwa ila nikipata tulizo niliyemtongoza jana akaelekea naweza nisimtafute kwa miezi kadhaa (nitamrejea kumtongoza tena)

Sipendi kukosoa. Mimi ni mkosoaji mkubwa mno, nikipata huduma mbovu sehemu natafuta msimamizi. Nikimuona natoa mapendekezo utadhani nilichangia mtaji. Hii hali siipendi kwa vile inachukiza watu ila inanikereketa sana nisipotekeleza. Wanaonijua wakifanya kitu wananiletea nikosoe.
Mie huwa napenda mtu understanding zaidi, pengine ndio maana sipendi kutongoza hovyo. Napenda mtu anaeweza kusoma hisia zangu mapema akanielewa na ndio patners ambao nimedumu nao muda mrefu kuliko ambao niliwatongoza.

It sucks kuanza kumdanganya mtu mzima kwamba she is your everything and bla bla whilst kimsingi unataka companionship tu. Mapenzi yatajijenga taratibu as your know eachother well ila guess what? Huwezi kupata mtu bila kumtia fix flani. Naboeka!!!
 
Waow Asante kwa kunipenda[emoji7][emoji7]
Naomba unipe huyo kaka yako anioe jamani [emoji23][emoji23][emoji23]
Kazi yangu itakuwa kulea kumpenda na kumhudumia yeye na watoto wetu.
Nipo bado nyumbani Sina mchumba,binti Safi kabisa mwilini na rohoni tayari kwa kuwa mwanamke mke wa mtu[emoji23][emoji23][emoji23]
Mungu anakuona.
 
Mie huwa napenda mtu understanding zaidi, pengine ndio maana sipendi kutongoza hovyo. Napenda mtu anaeweza kusoma hisia zangu mapema akanielewa na ndio patners ambao nimedumu nao muda mrefu kuliko ambao niliwatongoza.

It sucks kuanza kumdanganya mtu mzima kwamba she is your everything and bla bla whilst kimsingi unataka companionship tu. Mapenzi yatajijenga taratibu as your know eachother well ila guess what? Huwezi kupata mtu bila kumtia fix flani. Naboeka!!!
Ss hapo tabu iko moja nakumbuka i used to know some1 lyk u,tukawa very close kwa mm nilivyomsoma ni kwamba alikuwa anaenjoy tukiwa wote ila hatukuwa seriously in that dive.Kumbe mwenzangu alifall banah...siku nipo na a long time male friend of mine restaurant flani akanichek tuonane maana hakuwa mbali na hapo basi nikamwambia aje tu,Guess what happened next.....
 
Kabla sijacomment utopole alikua tall or short guy
 
Mie huwa napenda mtu understanding zaidi, pengine ndio maana sipendi kutongoza hovyo. Napenda mtu anaeweza kusoma hisia zangu mapema akanielewa na ndio patners ambao nimedumu nao muda mrefu kuliko ambao niliwatongoza.

It sucks kuanza kumdanganya mtu mzima kwamba she is your everything and bla bla whilst kimsingi unataka companionship tu. Mapenzi yatajijenga taratibu as your know eachother well ila guess what? Huwezi kupata mtu bila kumtia fix flani. Naboeka!!!
Ila mm napenda mtu straight yan ukija ukaniambia unahitaji companionship na ukaniweka wazi kwa kila kitu,aisee i always appreciate it na lazma uwe rafiki yangu wa kudumu.

Honesty is the best policy.
 
Back
Top Bottom