Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

Kuolewa mwisho tena, watoto watachelewa shule aisee.
 
Ila kuchat ndio kinara, unaeza vunja screen kwa kuchapa vidole πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
My dream wife
 
Duh, hii ni balaa [emoji23][emoji23][emoji23] we inaonesha hata Club unaiskiaga kwenye vyombo vya habari achilia mbali bar
Nilishawahi enda mara moja miaka ya nyuma sana,bro akaja nyumbani ooh dogo jiandae tuende Kili show ukawaone wasanii.miaka ya nyuma nilikuwa nasikiliza sana hizo nyimbo maana kaka zangu waligeuza nyumba ya mzee kama studio ya kupiga mziki.

Picha likaanza tumefika pale kuingia tu mziki,tumeingia humo ndani watu wamepombeka,wa kugombana wanagombana nikasema Leo nimejitafutia balaa.. nikamwambia bro turudi nyumbani,bro mwenyewe alikuwa anapiga vyombo,ananiambia ooh mi sirudi hadi nimuone Roma akiperform..ilivyofika saa 4 usiku nikaanza kumlilia anirudishe nyumbani.
 
Kuolewa mwisho tena, watoto watachelewa shule aisee.
Hata Mimi natamani Sana kuolewa na watoto wawahi shule ila Mipango yangu Ndiyo itakayodetermine muda wangu wa kuolewa.
Sitaki kuolewa nikiwa tegemezi kwa kila kitu, Hadi hela ya pad nipewe!?!?
Nafanya vijikazi,vikikaa sawa na nikiweza kupata hata Mia mbili kwa siku basi hapo nitakuwa tayari kuolewa.
Sasa namuomba Mungu anifanikishe hapo.
 
Hahahah kwahio jamaa anarudi home saa 12 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ila nampongeza maana hakika atakuwa amepata mke kweli.

Hio usishangae af lazma uwe busy mtoto wakike hatakiwi kukosa shughuli ya kufanya. Ofcourse mungu amewaumba mko vizuri ku multi task hongera sana. Mie hivyo vyote lazma nivifanye sequentially...siwezi kufanya vitu vitatu kwa mara moja ntaunguza nachopika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…