Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Kuolewa mwisho tena, watoto watachelewa shule aisee.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mama mwenyewe alishanishindwa kunitoa nje Kama sitaki kutoka.
Nitatoka pale nitakapotaka Mimi.
Na uzuri nilipofika tu nikamwambia bi mkubwa mapema plan zangu,inayoanza hadi ya mwisho..ndoa iko mwisho kabisa na hapa bi mkubwa anafanya mpango plan zangu za mwanzo zitimie maana nishamwambia bila kutimiza hizo nyumbani kwako sitoki ng'oo.
Halafu juzi amekuja ananiambia "Anne yule rafiki yako mlisoma naye primary anaolewa,mama Yake amenipigia[emoji1787]"nikamjibu tu hongera zake.