Am 75 yrs huko mwezini nishamalizana napoHuogopi kustukizwa na ada yako ya mwezi!
75? Kama upo sahihi sawa.Am 75 yrs huko mwezini nishamalizana napo
Uko sahihi kabisa!na nishakubali kuliwa kidogo[emoji28]Ukitaka kula sharti uliwe kidogo
aaaa ningekua na uwezo wa kupeana kichwa changu kisukwe kisha nirudishiwe ningefurahi sana.....sipendi ule uchungu wa kusukwa ...hahaaHabari za mchana watu wangu wa nguvu..ni matumain yangu nyote mko salama na mnaendelea kuimalizia jumapili mwanana kabisa...π§ββοΈπ§ββοΈ
Maisha ni mafupi bhana waaaahiii..π π tujifurahishe tu hakuna namnaπ₯π₯π₯
Huo ulikuwa ni utangulizi tu π π ngoja nirudi kwenye uzi sasaπ€ͺπ€ͺπ€ͺ
Aiseh hakuna kitu sipendi kama kuswaki,kuvaa kyupiπkuvua na kuvaa nguoπ€£π€£ila nakuwa Sina namna. Mengine nitaendelea kuyakumbuka kadri mda unavyoendaπ π π .
Karibu na wewe ushee nasi ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yako ya kila siku lakini unakuwa huna namnaππ
Karibuni wapendwa π§ββοΈπ§ββοΈπ§ββοΈπ§ββοΈπ₯π₯π₯π₯
Niache wewe[emoji3][emoji3][emoji3]Hakuna mkuu...au tufanye wewe ndo wakwanza [emoji28][emoji28]
Eeeh maana me naokoka kwa ajili yako mama.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa unamwambia chakori badala ya kuniambia mimi!
Hahahahah upo kama best yangu mmoja huyo πππ akiamua kukisifia kitu hapo hajakiona aisee utastaajabu ukija kukiona sasa. Cha kawaida ila hio kampeni iliopigwa ni ya kiwango cha standard gauge πππ yani na hela ya advance unaweza ukatoa..Mie tena..usilogwe ukaniambia nikupambie kitu..naweza jenga ghorofa π π π sifai..
Hayo ndio maneno sasa πππUko sahihi kabisa!na nishakubali kuliwa kidogo[emoji28]
Hahahah hatar sana hilo, lawama lazma ziwe nyingi misibaniHapendi ushirikiano na binadamu huyo yfu2bi
Amen!Sipendi kuomba kitu chochote kutoka kwa mtu zaidi ya Mungu, ila kuna wakati inanilazimu kuomba huku moyoni nikiwa naumia sana.
Ukishakuwa mtu mzima huoni haja tena ya kupuyanga na maneno mengi! You hit the nail on the right spot..its either awe muelewa au akutose but ushakuwa muwazi.Nashangaa eti mtu anamwambia mwenzie kuwa ndiye kila kitu wakati muda huo hawajaanza mahusiano.
Simply namwambia Xxx umenivutia hiki na hiki naomba tuwe partners. Ex wangu mmoja alikuwa anasema mambo ya kuoana sijui watoto wawe na majina gani. Yani nikikumbuka nakasirika ujinga na uongo niliokuwa nasema.
Am 75 yrs huko mwezini nishamalizana napo
Asante mtoto mdhurii pia sijasahau tulips twa kugongea mu deep kish mubashara. My favourite part of a womans body!πPole mkuu...una vitu vingi vile mi napendaπ₯°