Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

Habari za mchana watu wangu wa nguvu..ni matumain yangu nyote mko salama na mnaendelea kuimalizia jumapili mwanana kabisa...🧚‍♀️🧚‍♀️
Maisha ni mafupi bhana waaaahiii..😅😅tujifurahishe tu hakuna namna🥂🥂🥂

Huo ulikuwa ni utangulizi tu 😅😅ngoja nirudi kwenye uzi sasa🤪🤪🤪

Aiseh hakuna kitu sipendi kama kuswaki,kuvaa kyupi🙈kuvua na kuvaa nguo🤣🤣ila nakuwa Sina namna. Mengine nitaendelea kuyakumbuka kadri mda unavyoenda😅😅😅.

Karibu na wewe ushee nasi ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yako ya kila siku lakini unakuwa huna namna😁😁

Karibuni wapendwa 🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🥂🥂🥂🥂
aaaa ningekua na uwezo wa kupeana kichwa changu kisukwe kisha nirudishiwe ningefurahi sana.....sipendi ule uchungu wa kusukwa ...hahaa
 
aaaa ningekua na uwezo wa kupeana kichwa changu kisukwe kisha nirudishiwe ningefurahi sana.....sipendi ule uchungu wa kusukwa ...hahaa
Bora ujilie upara wako matata sana😅😅😅kama nakuona na kipara😅😅
 
Sipendi kuomba kitu chochote kutoka kwa mtu zaidi ya Mungu, ila kuna wakati inanilazimu kuomba huku moyoni nikiwa naumia sana.
 
Mie tena..usilogwe ukaniambia nikupambie kitu..naweza jenga ghorofa 😅😅😅sifai..
Hahahahah upo kama best yangu mmoja huyo 😂😂😂 akiamua kukisifia kitu hapo hajakiona aisee utastaajabu ukija kukiona sasa. Cha kawaida ila hio kampeni iliopigwa ni ya kiwango cha standard gauge 😂😂😂 yani na hela ya advance unaweza ukatoa..
 
Nashangaa eti mtu anamwambia mwenzie kuwa ndiye kila kitu wakati muda huo hawajaanza mahusiano.
Simply namwambia Xxx umenivutia hiki na hiki naomba tuwe partners. Ex wangu mmoja alikuwa anasema mambo ya kuoana sijui watoto wawe na majina gani. Yani nikikumbuka nakasirika ujinga na uongo niliokuwa nasema.
Ukishakuwa mtu mzima huoni haja tena ya kupuyanga na maneno mengi! You hit the nail on the right spot..its either awe muelewa au akutose but ushakuwa muwazi.
 
Back
Top Bottom