Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

K
Kako below 25 still makudeka 🀣🀣🀣
Mamaaaaaaa....ndo mana anapata ujasiri wa kuweka ndoa ni lengo la mwishoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€waaaahhhhiiii....sasa nimeshaelewa...ila kama hatobadilisha msimamo Extrovert nitaomba uweke ndani Chombo hichoπŸ€“πŸ€“
 
Ooh!Ila kuvaa unapenda tatizo uvivu kufua[emoji16]
Kuvaa raha sanaa hehe
Kwny Kufua napenda 'perfection'.,ss inanitesa hizo process zake

Lazima niloweke..by colors...nyeupe ning'arishe na jik kidogo
Nisuuze vizuri na fabric softener juu
Nianike kwa mpangilio zikiwa nje ndani
Inanichosha hapo kuanua bado kukunja woooi
Somebody help me
 
Extrovert ndugu yangu fanya mpango hapa..huyu hana gharama kabisa
 
Maskini kumbe loh!si wanaume tuna raha tukisha marry tunaachana na Hiyo adha[emoji4][emoji4]
 
Mamaaaaaaa....ndo mana anapata ujasiri wa kuweka ndoa ni lengo la mwisho[emoji3][emoji3][emoji3]waaaahhhhiiii....sasa nimeshaelewa...ila kama hatobadilisha msimamo Extrovert nitaomba uweke ndani Chombo hicho[emoji851][emoji851]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dada hapa nilipo Sina chochote [emoji1787]
Yaani hata ningekuwa na 40's siwezi tamani kuolewa na wakati sina uwezo wa kuingiza hata sh Mia .
Labda tukubaliane kabisa kufunguliana biashara hata ya kuingiza buku tu,ili mradi nisiwe mikono mitupu
 
Mama mbona unafanya moyo unakuwa mgumu jmni..πŸ˜€πŸ˜€kwani biashara kitu gani utafunguliwa tuπŸ˜€πŸ˜€
 
Mama mbona unafanya moyo unakuwa mgumu jmni..[emoji3][emoji3]kwani biashara kitu gani utafunguliwa tu[emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani kweli nitoke nyumbani kwenda kwa mtu nikiwa sina hata mia kweli[emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…