Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Huku kwetu hatuna huo utamaduniNakushauri uwe unatumia plate za take away ili u save time na usioshe vyombo[emoji4]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huku kwetu hatuna huo utamaduniNakushauri uwe unatumia plate za take away ili u save time na usioshe vyombo[emoji4]
Kumbe ata zaman napo kulikuwa kuna majina mazurPole sana..
Ukiwa unayasoma unawazaga nini
YeahWill Saint Anne marry Mr.@orturoo
Si ndo wewe uwe wa kwanza kuanzisha ili usiteseke na kuosha vyombo kila sikuHuku kwetu hatuna huo utamaduni
Kuvaa raha sanaa heheOoh!Ila kuvaa unapenda tatizo uvivu kufua[emoji16]
Extrovert ndugu yangu fanya mpango hapa..huyu hana gharama kabisaNashiriki shughuli zote za muhimu hasa zile za changamoto..huwezi nikosa
Ila kwenye sherehe hapana kwa kweli na Mimi Sina mpango wa kufanya sherehe,hata Kama nikifanyiwa basi wakawepo ndugu tu!
Natamani ndoa yangu ije kuwa tu ya kawaida,tukitoka kanisani basi tuende nyumbani.
Maskini kumbe loh!si wanaume tuna raha tukisha marry tunaachana na Hiyo adha[emoji4][emoji4]Kuvaa raha sanaa hehe
Kwny Kufua napenda 'perfection'.,ss inanitesa hizo process zake
Lazima niloweke..by colors...nyeupe ning'arishe na jik kidogo
Nisuuze vizuri na fabric softener juu
Nianike kwa mpangilio zikiwa nje ndani
Inanichosha hapo kuanua bado kukunja woooi
Somebody help me
Mkuu yaishe usije kuta kuna mtu kakutumaNi beki tatu wa familia ya nyumbani kwenu..au wa nyumbani kwako wewe na mkeo..Tuanzie hapo kwanza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mamaaaaaaa....ndo mana anapata ujasiri wa kuweka ndoa ni lengo la mwisho[emoji3][emoji3][emoji3]waaaahhhhiiii....sasa nimeshaelewa...ila kama hatobadilisha msimamo Extrovert nitaomba uweke ndani Chombo hicho[emoji851][emoji851]
Mimi naona nikifuliwa na mtu mwingine hazitakatiMaskini kumbe loh!si wanaume tuna raha tukisha marry tunaachana na Hiyo adha[emoji4][emoji4]
Mama mbona unafanya moyo unakuwa mgumu jmni..😀😀kwani biashara kitu gani utafunguliwa tu😀😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dada hapa nilipo Sina chochote [emoji1787]
Yaani hata ningekuwa na 40's siwezi tamani kuolewa na wakati sina uwezo wa kuingiza hata sh Mia .
Labda tukubaliane kabisa kufunguliana biashara hata ya kuingiza buku tu,ili mradi nisiwe mikono mitupu
HaiwezekaniSi ndo wewe uwe wa kwanza kuanzisha ili usiteseke na kuosha vyombo kila siku
[emoji23][emoji23][emoji23]wa 30's ndio sisi sasaWe dada mwandiko wako si wa 30’s acha masihara
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mama mbona unafanya moyo unakuwa mgumu jmni..[emoji3][emoji3]kwani biashara kitu gani utafunguliwa tu[emoji3][emoji3]