Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

Hakuna kitu sipendi kama kuwa single ila sema tu sijapata anipendaye no way out[emoji17][emoji17][emoji17]
 
Mhm!kwani hujaona uko kadada kokote kwenye age kama yangu ukaambie kuna kajamaa kapole hapa JF[emoji4]
Kijana kwa umri ulionao..mpenzi wako bado hajazaliwa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Dah!hajazaliwa jamani sasa siku anazaliwa ntaijuaje jamani nataka niwepo kwenye birthday yake
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…chizi wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…