Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

Hakuna kitu sipendi kama kuwa single ila sema tu sijapata anipendaye no way out[emoji17][emoji17][emoji17]
 
Dah!hajazaliwa jamani sasa siku anazaliwa ntaijuaje jamani nataka niwepo kwenye birthday yake
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅chizi wewe
 
Back
Top Bottom