Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
πππ ntajikataUtachonga vyazi mamaπ π
Kuna kitu najiona ndani ya mwandiko wako na ndani yako mkuu..π€π€π€π€
nna rafiki yangu ye hua analoweka nguo siku 3 then anasuuza na kuanika anasema zishajifuaπππππ
fanya ivyo basi[emoji1312][emoji1312][emoji1312]
Najitahidi sana kuiepuka hiyo haliJitahidi aise hiyo si sawa
Napenda kusafiri pembeni yangu akae mwanaume mrefu mpole mpole lkni mchangamfuπππsafari itakuwa fupi..Sipendi kusafiri.
Huwa nasafiri basi tu unakuta Safari ni ya lazima.
Safari ikikaribia nawaza hadi nakonda.
Sipendi kuongea na simu.
Kuna muda inaweza iite na nisipokee na ninaiona kabisa.
Mara moja moja sana nalazimika kupokea.
Daaah[emoji1787]...naomba kila ukimiona umpigie salute maana huyo ni master wa wavivu wote duniani[emoji23],yan simpatii picha aiseenna rafiki yangu ye hua analoweka nguo siku 3 then anasuuza na kuanika anasema zishajifua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio mama...π§ββοΈπ§ββοΈπ§ββοΈ...@Chakorii, again[emoji28][emoji28]
Hapo kwenye kuvaa kyupi tupo wengi, mimi sipendi naona tu kama iniwekea uzio, nikiwa nyumbani sivai kabisaaa labda niwe natoka au siku niamke na mood ya kuvaa
Sipendi pia kuosha vyombo na kupasi surali za Mr, yani naona kama ni kazi inayonifanya nijiskie naonewa sema tu sina jinsi inabidi nifanye
Sipendi pia kutoka au kuzurura kama Saint Anne, tena kama nipo likizo naweza kukaa ndani tu hata nje ya geti sitoki kama mwali
Tobaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nna rafiki yangu ye hua analoweka nguo siku 3 then anasuuza na kuanika anasema zishajifua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
yaaaani ni kibokoDaaah[emoji1787]...naomba kila ukimiona umpigie salute maana huyo ni master wa wavivu wote duniani[emoji23],yan simpatii picha aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Safari sidhani kama nitakuja kupendaNapenda kusafiri pembeni yangu akae mwanaume mrefu mpole mpole lkni mchangamfu[emoji6][emoji6][emoji6]safari itakuwa fupi..
Kuna vitu vitabadilika taratib kabisa mama