Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

Yesu wangu Mimi [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23]
Lakini kila kitu huja kwa kujifunza.
Tunaaswa kutunza na mazoezi tutafanyia ndani hukohuko tukiingia,na si nje[emoji1787]
Kila kitu kinda faida na hasara
Sasa hapo inabidi mtu achague..,hizo sifa mbili hazirandani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unless mtu awe mwepesi kujifunza
Wacha weee usiniambie
 
Habari za mchana watu wangu wa nguvu..ni matumain yangu nyote mko salama na mnaendelea kuimalizia jumapili mwanana kabisa...[emoji3344][emoji3344]
Maisha ni mafupi bhana waaaahiii..[emoji28][emoji28]tujifurahishe tu hakuna namna[emoji1635][emoji1635][emoji1635]

Huo ulikuwa ni utangulizi tu [emoji28][emoji28]ngoja nirudi kwenye uzi sasa[emoji2957][emoji2957][emoji2957]

Aiseh hakuna kitu sipendi kama kuswaki,kuvaa kyupi[emoji85]kuvua na kuvaa nguo[emoji1787][emoji1787]ila nakuwa Sina namna. Mengine nitaendelea kuyakumbuka kadri mda unavyoenda[emoji28][emoji28][emoji28].

Karibu na wewe ushee nasi ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yako ya kila siku lakini unakuwa huna namna[emoji16][emoji16]

Karibuni wapendwa [emoji3344][emoji3344][emoji3344][emoji3344][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635]
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] hupendi kyupi
 
Back
Top Bottom