Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Unauliza maswali mfulilizo kana kwamba tupo ITV kwenye kipindi cha maswali na majibu!Jana hujanijibu Swali langu.
Nilikuuliza kwanini hupendi kuokoka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unauliza maswali mfulilizo kana kwamba tupo ITV kwenye kipindi cha maswali na majibu!Jana hujanijibu Swali langu.
Nilikuuliza kwanini hupendi kuokoka.
Wacha weee usiniambieYesu wangu Mimi [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23]
Lakini kila kitu huja kwa kujifunza.
Tunaaswa kutunza na mazoezi tutafanyia ndani hukohuko tukiingia,na si nje[emoji1787]
Kila kitu kinda faida na hasara
Sasa hapo inabidi mtu achague..,hizo sifa mbili hazirandani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unless mtu awe mwepesi kujifunza
Inabidi tu niokoke,la sivyo dada anaweza kususa kunipikia chakula na pia naweza kukosa ile rahaa ya kuletewa chakula mezani na dada na yale maneno ya "kaka njoo tule".Uwiiiiiiiiii, hakuna kama dada ati!Hivi si ni wewe jana ulisema hupendi kuokoka[emoji28][emoji28][emoji2296][emoji2296]Jehovah.. Saint Anne njoo
Aiseee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unauliza maswali mfulilizo kana kwamba tupo ITV kwenye kipindi cha maswali na majibu!
Yaani hata mimi nimeshangaa[emoji3]Hivi si ni wewe jana ulisema hupendi kuokoka[emoji28][emoji28][emoji2296][emoji2296]Jehovah.. Saint Anne njoo
Trauma & saint white colour infection.Utakuwa una matatizo ya problem si bure
Nakazia[emoji1787]Na hivyo ulivyo ukikaa bila nguo hakuna man anaweza kuacha kuku[emoji102]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wacha weee usiniambie
He is a gentleman [emoji122]Safi..[emoji1666][emoji1666][emoji1666]sana mkuu
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] hupendi kyupiHabari za mchana watu wangu wa nguvu..ni matumain yangu nyote mko salama na mnaendelea kuimalizia jumapili mwanana kabisa...[emoji3344][emoji3344]
Maisha ni mafupi bhana waaaahiii..[emoji28][emoji28]tujifurahishe tu hakuna namna[emoji1635][emoji1635][emoji1635]
Huo ulikuwa ni utangulizi tu [emoji28][emoji28]ngoja nirudi kwenye uzi sasa[emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Aiseh hakuna kitu sipendi kama kuswaki,kuvaa kyupi[emoji85]kuvua na kuvaa nguo[emoji1787][emoji1787]ila nakuwa Sina namna. Mengine nitaendelea kuyakumbuka kadri mda unavyoenda[emoji28][emoji28][emoji28].
Karibu na wewe ushee nasi ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yako ya kila siku lakini unakuwa huna namna[emoji16][emoji16]
Karibuni wapendwa [emoji3344][emoji3344][emoji3344][emoji3344][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635]
Akinidunda mimi kamwili si kataisha kote[emoji1787]yna2 nimepata mshirika uje umdunde na yeye [emoji28][emoji28]
Mno[emoji110][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182] kwake tafadhali...kaufurahisha moyo wangu sana..Mungu aendelee kumtunza huyu kiumbe