Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

Hapendi ushirikiano na binadamu huyo yfu2bi
Nashiriki shughuli zote za muhimu hasa zile za changamoto..huwezi nikosa
Ila kwenye sherehe hapana kwa kweli na Mimi Sina mpango wa kufanya sherehe,hata Kama nikifanyiwa basi wakawepo ndugu tu!
Natamani ndoa yangu ije kuwa tu ya kawaida,tukitoka kanisani basi tuende nyumbani.
 
Siku ukijua kuwa mahitaji hubadilika na nyakati basi huwezi kuji commit kwa kila kitu unachowaza sasa.
 
Hamna mtu wa 30's hapo! Walioko huko hawana relaxation ya hivyo ati sijui dreams n blaa blaa [emoji23]! Muda ukifika utakuwa unashinda kwa page ya McGarab hata jf itakuwa chungu.
Inahusu nini hiyo page?
Kama ni ya unasiriamali niende mie angalau nikajifunze[emoji23]
 
Back
Top Bottom