Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Sijajua maana sipangi mimiMahari ni sh. Ngapi?
Wanapanga wazazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijajua maana sipangi mimiMahari ni sh. Ngapi?
Niulizie kwa mshua hapo tufanye ndoa iwe 28,OctoberSijajua maana sipangi mimi
Wanapanga wazazi
Huwa wanapanga na washengaNiulizie kwa mshua hapo tufanye ndoa iwe 28,October
Usiwe unafua uwe unanua nguo mpya kila baada ya siku ili uonekane nadhifu ile ya kwanza ikichafuka[emoji4]Sipendi kufua
Hahaha nguo mpya kwa hela ipi lolUsiwe unafua uwe unanua nguo mpya kila baada ya siku ili uonekane nadhifu ile ya kwanza ikichafuka[emoji4]
Ooh!Ila kuvaa unapenda tatizo uvivu kufua[emoji16]Hahaha nguo mpya kwa hela ipi lol
huwa nafuliwa muda mwingine
Ila nikipewa kuchagua ningeiaga hii kazi mazima.,
🕺,sawa mdokeze mama kuhusu huu ugeniHuwa wanapanga na washenga
Sana sana vitu vingi hutolewa kuliko pesa
Njoo utoe, nafsi ipo wazi
Kuna jamaa alikua anauza machine yakufulia humu jf,Sipendi kufua
Njoo kwanza umsalimie[emoji1739],sawa mdokeze mama kuhusu huu ugeni
Hapa tupo wengi aisee...Kufua nafua yani itokee tuSipendi kufua
Mimi natamani kusingekuwa na kuosha vyombo.Hahaha nguo mpya kwa hela ipi lol
huwa nafuliwa muda mwingine
Ila nikipewa kuchagua ningeiaga hii kazi mazima.,
Ni beki tatu wa familia ya nyumbani kwenu..au wa nyumbani kwako wewe na mkeo..Tuanzie hapo kwanzaMkuu najua kuogelea maji hayatanipeleka. Hivi juzi juzi Utepe nimekata mwenyewe akiona mazingira mazuri anataka. Halaf ana heshima sana.
Nakushauri uwe unatumia plate za take away ili u save time na usioshe vyombo[emoji4]Mimi natamani kusingekuwa na kuosha vyombo.
Hahah polehMimi natamani kusingekuwa na kuosha vyombo.
Ahsante mkuu na madukani zipoKuna jamaa alikua anauza machine yakufulia humu jf,
Ingekuwa lokesheni ni Gusa unaseee...fasta ningeibuka pm mkuu..ila ni cheka ung’atwee...😃😃hapana ng’watwa mwenyewe tu hakuna namnaAlaf ndo tarehe zenyewe izi location ni cheka ung'atwe [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] njoo dm upate location fasta hahahaha
Will Saint Anne marry Mr.@orturooNjoo kwanza umsalimie
Siwezi mdokeza kama sijaprove mwenyewe kama ni siriazi
Mimi nguo napenda kufuaHahah poleh
Hio nayo inaboaa