Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

Katika vitu naonaga kero ni kukaa saloon kunyolewa

Mbaya zaidi nikikaaga kunyolewa basi kinyozi atakavyojibalaguza hapo unakuta natumia nusu saa hadi dk 45 yani hadi najiuliza wanalima huko kichwani au???

Kingine kuosha vyombo yani hii inanifanya kuwa mteja wa kula restaurant ili kuskip hii task.

Kufua pia ni kero japo at least hii unaweza kupata msaada
Pole sana mkuu...huo ni ugonjwa wengi snaa..
 
Back
Top Bottom