orturoo
JF-Expert Member
- Mar 13, 2017
- 2,947
- 4,876
Ubwabwa kwa rungwe,kwetu utakula pido La shabaNimeshakaa kwa kutulia kabisa kusubiria ubwabwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubwabwa kwa rungwe,kwetu utakula pido La shabaNimeshakaa kwa kutulia kabisa kusubiria ubwabwa
Na iwe hivyo[emoji2960]Nitafanya hvo future wife.. yn nakuhamisha kabisa maeneo ya mjini na vitongoji vyake
Pole sana mkuu...huo ni ugonjwa wengi snaa..Katika vitu naonaga kero ni kukaa saloon kunyolewa
Mbaya zaidi nikikaaga kunyolewa basi kinyozi atakavyojibalaguza hapo unakuta natumia nusu saa hadi dk 45 yani hadi najiuliza wanalima huko kichwani au???
Kingine kuosha vyombo yani hii inanifanya kuwa mteja wa kula restaurant ili kuskip hii task.
Kufua pia ni kero japo at least hii unaweza kupata msaada
Mnanikatisha tamaa jamani ina maana mimi ntabaki single mpaka lini[emoji17][emoji17]
Jikaze mamaHapa nilipo nilishaanza kusinzia
Na we we nakuzoom tu na Saint Anne wako huyoMjep nakuzoom tuu
[emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]Mpka Yesu atakaporudi
Kumbe!Hujakosea
Kwahiyo umeamu kuniigiliza sio..Na we we nakuzoom tu na Saint Anne wako huyo
Shkamoo bossNa we we nakuzoom tu na Saint Anne wako huyo
Siwezi kufa bhan lolJmni si utakufa sasa..
Kule leo siji kabisaJikaze mama
Mpo wengiAcha roho mbaya basi mkuu😅😅😅😅wanawake tuko wengi😅😅
Nitaachaje kukuigilizia we we sasa Mkuu wanguKwahiyo umeamu kuniigiliza sio..
😅😅😅😅😅mtoto ametulia mjep..umeona ee