Isoko isongole
Senior Member
- Sep 12, 2024
- 105
- 124
Uko sahihiSawa kabisa, huwezi kutaja kitu kilichokufanya bila kutaja ukawa na uraibu wa kitu gani. Sasa mapungufu yanakuja kutaja uraibu wa kitu bila kutaja sababu za kuwa na uraibu wa kitu hicho.
Yaani swwali lingeweza kuwa "wewe ni mraibu wa kitu gani". Then simple, mraibu wa a,b,c,d...
Lakini pia swali laweza kuwa, wewe ni mraibu wa kitu gani na nini kilikufanya uwe mraibu wa hicho kitu. Nimeiona thread katika taswira hii.