Isoko isongole
Senior Member
- Sep 12, 2024
- 105
- 124
Uko sahihiSawa kabisa, huwezi kutaja kitu kilichokufanya bila kutaja ukawa na uraibu wa kitu gani. Sasa mapungufu yanakuja kutaja uraibu wa kitu bila kutaja sababu za kuwa na uraibu wa kitu hicho.
Yaani swwali lingeweza kuwa "wewe ni mraibu wa kitu gani". Then simple, mraibu wa a,b,c,d...
Lakini pia swali laweza kuwa, wewe ni mraibu wa kitu gani na nini kilikufanya uwe mraibu wa hicho kitu. Nimeiona thread katika taswira hii.
Mkuu ulitumia njia gani kuacha sigara?Itakudhiru ni suala la mda. Acha taratibu. Bora uwe na michepuko kuliko hio kitu.
Ipo siku dudu lako litakuwa zembe mbele ya demu kama malaika na nyashi yote ile dudu haliamk.
Tune your mind.
Kuacha sigara ni ngumu kuliko kuacha punyeto ila watu tumeacha sembuse master b.
Nipe mbinu ya kuacha fegi kaka maana nilivyoanza na nilivyoendelea na kuacha imekua shida kinachoniumiza siwezi kuvuta hadharani ila nikitulia ndani unaweza dhani natumia jiko la kuniNiliweza kuacha sigara wewe unashindwaje punyeto. Sigara ni kemikali wakati punyeto ni ashki au nyege ambazo unaweza kuzi direct kwenye uchi wa mwanamke.
Hamu ya sigara una direct wapi ?
Awwww! This is too sweet jamani that I’m overwhelmed!I love you deeply, my sweetheart. Please take good care of yourself for me, just as I’m doing for you.
Ova
kudosI miss it bamboo juice itende kwa bibi,unatoka mishemishe zimebuma jua kaliiii unapita kwa bibi anakupokea kwa ulanzi bariiiidi jagi zima anakupa na mahindi mawili ya kuchemsha ushushie kwa nini usiupende ulanzi?
😁😁I miss it bamboo juice itende kwa bibi,unatoka mishemishe zimebuma jua kaliiii unapita kwa bibi anakupokea kwa ulanzi bariiiidi jagi zima anakupa na mahindi mawili ya kuchemsha ushushie kwa nini usiupende ulanzi?
KulaKula au kuliwa