Ni kitu gani ambacho kiliwahi kukutoa ushamba?

😀😀😀😀 unasema uliruka kama ninja...
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka mpaka nimepaliwa aisee
 
niligongea gari nikapita shel kuongeza mafuta sijui baton ya kufungulia mfuniko wa tank ilipo jamaa wa shel akanisaidia.
 
Aisee nakumbuka zamani Sana,tulikuwa lodge na boyfriend wangu. Tulikuwa tuna safiri,katika kufukunyua fukunyua nikaiona laptop ya babe kwenye begi lake,nikaichukua. Nikaona kitufe cha power,nikaiwasha. Nikasikia raha mwenyewe kuichezea laptop kwa Mara ya kwanza,Maana Nilikuwa Naiona ona tu kwa watu. Baada ya muda nikamsikia babe alikuwa anaongea na simu nje,anarudi chumbani kwetu. Nikazima pale kwenye power nikairudishia.
Babe alivyoingia akasema ngoja tucheck movie,akaitoa laptop. Akaniambia sasa mbona hujaizima?? Nikakataa sijaishika wala kuichezea. Alicheka Sana mpaka machozi yakamtoka,alinicheka mpaka nikakasirika. Akanionyesha vile vitaa pale vilivyoongozana vya chaji na vitaa vingine. Akaiwasha halafu akaniambia ukitaka kuizima unafanya hivi.
Aisee Hadi niliacha kununa nikajikuta nacheka tu mwenyewe,nikakiri kweli niliiwasha.
Aisee laptop iliniaibisha Sana sitosahau.
 
Niliwahi kwenda hotelini na mama mwaka 1985 mwambao mwaka ziwa Tanganyika,baada ya kumaliza kula nikaanza kutoa vyombo. Mama akaangalia kushoto na kulia kisha akanizaba kofi na kusema sio jukumu langu zaidi ya kula na kulipa na kuondoka [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahha nkamu ukihisi vitu huvielewielewi kwenye begi lako niite. Nimesomea
Mmmh aisee sikutegemea kucheka hivi leo. I can imagine ulivyokuwa unashusha fimbo sijui gongo kwa nyoka tena kwa nguvu zoteee, heshima yako ninja
 
Demu alinizidi ujanja, akanilazimisha kula denda,. Daah! Nilitemea ukutani huko,... Halafu eti ananiambia nimeze, mwe! Nilipata wakati mgumu sana!
 
Mungu nsamehe ila siku ya kwanza kufunuliwa uchi na mwanamke na kuniruhusu niweke kidude changu...nlisikia jotoooo na kupizi chwaap nikachanganyikiwa kwnz kwa raha kidogo nizimie.
Pacha...[emoji23][emoji23][emoji23]

Ukafikiri unakufa eeh ?
 
Mm nakumbuka simu, da cjui mwaka gani nikaazima simu ili nimpigie mtu, sasa nikaaandika number vizuri sikuweza kujua kama una press wapi nikaweka kunako sikio, basi nimeganda nayo mpka mwenye simu akashangaaa
Hahahaaa..
 
Mungu nsamehe ila siku ya kwanza kufunuliwa uchi na mwanamke na kuniruhusu niweke kidude changu...nlisikia jotoooo na kupizi chwaap nikachanganyikiwa kwnz kwa raha kidogo nizimie.
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…